Maproducer wa bongo huja na kupotea kama upepo. msichachawe na Mr. T Touch

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Kwa wale wanaoujua muziki na kuufuatilia tangu enzi bongofleva inaingia na kupamba moto miaka ya 90s watanielewa ninachomaanisha hapa.
Kulikuwa na maproducer wengi sana walifanya kweli na wakapotea hadi leo haijulikabi wapo wapi
Mfano MIKA MWAMBA alivuma akapotea
P FUNK MAJANI alivuma,akapotea
PROF,LUDIGO alivuma ,akapotea
JONAS alivuma sana,akapotea
MASTER JAY alivuma,akapotea
HAMY BEE alivuma,akapotea
AMITI MENTO alivuma akapotea
DUCE(duke)alivuma,akapotea
MARCO CHALI alivuma akapotea
MANEKE alivuma akapotea
PANCHO alivuma akapotea
LAMAR alivuma akapotea
BIZ MAN alivuma akapotea
SEY RECORDS alivuma akapotea
KAMETA alivuma akapotea
RUCHI alivuma akapotea

Wapo wengi sana ambao walikuja vizuri,sasa huyu kijana anayeitwa Mr,T Touch anavimba kichwa anajiona yeye ndio Producer mkali kwa kuwa ana ngoma kadhaa hewani.hajui wasanii wa bongo ni wanafiki sana,wanaaanza na wewe halafu ghafula wanakuacha.huyu dogo anajiona king hadi analeta kiburi kwa Nay wa Mitego ambaye ndiye aliyemtambulisha kwenye game!!nyie kuweni kjmya tuu,mtaona soon na yeye atapotea kama wenzake tu wala msipagawe wakuu
 
Kuna mstari unasema "Kufikia namba moja sio kazi ila kazi ni kuimudu na kukaa muda mrefu kwenye hio namba moja" sikumbuki aliutoa msanii gani
 
madirector zamani ilikua ukiskia mziki unauliza beat kafanya nani ,ikaja ukiona mziki director gani kafanya...
alitambaga nisha kila video ina ukungu nani hakufanya kwa nisher...

sasa hivi hata sijui anaendeleaje
 
Muda mwingine uwe unauliza watu walio karibu na Mr T touch siyo unaongea ongea tu kwa muda mfupi niliokaa na Mr T touch nimegundua ni mtu peace, asiye na makuu,mvumilivu na hayo mnayosema kuwa kamfanyia kiburi Mr Nay ni kwa kuwa katumia busara tu kutosema yote na Mr Nay yeye ndiyo kaongea mengi ili aonekane Mr T ndiyo mkorofi
 
madirector zamani ilikua ukiskia mziki unauliza beat kafanya nani ,ikaja ukiona mziki director gani kafanya...
alitambaga nisha kila video ina ukungu nani hakufanya kwa nisher...

sasa hivi hata sijui anaendeleaje
Wewe kabla ya Nisher,alikwepo Adam wa Visual lab,huyu ndio alikamata balaa.kwa sasa cjui anafanya nini
 
Muda mwingine uwe unauliza watu walio karibu na Mr T touch siyo unaongea ongea tu kwa muda mfupi niliokaa na Mr T touch nimegundua ni mtu peace, asiye na makuu,mvumilivu na hayo mnayosema kuwa kamfanyia kiburi Mr Nay ni kwa kuwa katumia busara tu kutosema yote na Mr Nay yeye ndiyo kaongea mengi ili aonekane Mr T ndiyo mkorofi
Mr.T Touch namjua na.Nay namjua,ndio Nay ana matatizo ila haikupaswa kuletewa jeuri coz katoa msaada sana
 
Hakuna atakayekaa kwenye form mazima.. Muda ukifika atadrop, Nakumbuka Nay alitangaza kumzawadia t touch studio ya free nation. Sijui nini kimetokea free nation bado inamilikiwa na Nay
 
Kama binaadamu huzaliwa na kufa sembuse umaarufu kila kitu kinaishi kulingana na wakati wake husika.
 
Mkuu inategemea na kujipanga kwa mtu huyo diamond kwa kujituma kwake kasha tengeneza brand kubwa Africa mashariki hata sasa hivi akishuka kimziki bado vitu alivyo wekeza vitazidi kumuingizia mkwanja wa kutosha.
Hata hao Ma Producer nao walijpanga Sana Kiongozi,WAKATI Ni UKUTA Hauwezi Shindana nao,Biashara ya Sembe ni Ngumu Sana kwa sasa,Easy Money zikikata na Ushazoea Kuishi Extravagant kutegemea faida uliyowekeza ni ngumu.
 
Back
Top Bottom