L LUWINGO Member Joined May 14, 2013 Posts 33 Reaction score 8 Mar 28, 2014 #1 mji wa mtwara leo kuanzia alasili ulisimama ghafla na askari kutapakaa kila kona kwa jinsi wamande walivyoungana kuipokea NDANDA FC, timu iliyopanda daraja hadi PREMIER LEAGUE., duh.....! kwa umoja huu, MUNGU IBARIKI NDANDA FC.
mji wa mtwara leo kuanzia alasili ulisimama ghafla na askari kutapakaa kila kona kwa jinsi wamande walivyoungana kuipokea NDANDA FC, timu iliyopanda daraja hadi PREMIER LEAGUE., duh.....! kwa umoja huu, MUNGU IBARIKI NDANDA FC.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,370 Reaction score 29,613 Mar 28, 2014 #2 Haya tumekusikia....Picha ingesindikiza habari yako vizuri zaidi..