Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

Yaani CCM ya Sasa ni akina Kingai na Mahita division five ndio wanaiongoza.
Sasa kulikuwa na sababu gani kujikusanya hapo mazuzu kumpokea huyo babu ambaye amesha staafu siasa? Hicho kibabu hakina mvuto wowote habari iliyopo ni KATIBA mpya tuu. Ninyi mjishaue kupokea vibabu vyenu na vibibi vyenu toka Omani au huko Somalia hatuyoki kwenye reli sie, Join the chain KATIBA mpya ni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…