Mapokezi Simiyu Mashallah Tabarakallah

Usisahau pia fuso limeua wananchi katika harakati zenu za kusomba wananchi kama mizigo......
 
Wana Simiyu mmetuheshimisha nchi nzima. Ziara imefana mno. RC apandishwe cheo, inshallah, kapambana. Oktoba tunatiki na Mpina atapangiwa hukooo Nanyumbu!

Sio wa simiyu tu hata mikoa mengine ilitoka kwenda kujaza uwanja kwa vile usafir ni bure kila mmoja akaona aende tu ila sio kwa mapenzi yao ya kwmaba mnakubalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…