walimweupe
Member
- Aug 16, 2015
- 64
- 75
Kuna makabila yameshikilia mambo ambayo hayana mashiko ukilinganisha na nyakati tulizonazo. Mfano, ktk familia kuthamini zaidi mtoto wa kiume kuliko mtoto wa kike hata pale inapoonekana binti kuwa ni mwenye uwezo zaidi. Inasikitisha sana sana pale ambapo utakuta ubaguzi huu unatendwa na wazazi wenye upeo wa kutosha kielimu.... "Hakika binadamu anaelimika bongo yake na wala si moyo"