Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 7, 2015 #1 Mahitaji: 1,Mchicha (Kiasi kinachokutosha). 2.Kitunguu maji. 3.Nazi ( tui zito/ ya pakiti). 4.Curry powder. 5.Pilipili (ukipenda). 6.Mafuta ya kupikia kiasi. chumvi Jinsi ya kuandaa: 1.Chambua mchicha wako, uoshe vizuri weka pembeni uchuje maji ( unaweza kuukata kata ukipenda). 2.Weka sufuria jikoni, tia mafuta kiasi, yakipata moto tia vitunguu maji. 3.Kaanga vitunguu, vikiaribia kuwa rangi ya kahawia, weka pilipili nzima, kaanga pamoja na vitunguu. 4.Kisha weka curry powder pamoja na mchicha. 5.Mchicha ukianza kulainika weka tui la Nazi. .changanya vizuri tui na mchicha. 6.Tia chumvi, acha mpaka tui likaukie na uepue mchicha wako tayari kwa kuliwa. NB; Usifunike sufuria katika hatua zote hizo ( kufunika mboga ya majani kunaifanya itoe maji mengi) Mboga hii inaweza kuliwa kwa ugali au wali. CC: farkhina (mwali kakuaa), Dinazarde Mrs Kharusy Angel Nylon Honey Faith mshana junior geniveros na wadau wote.
Mahitaji: 1,Mchicha (Kiasi kinachokutosha). 2.Kitunguu maji. 3.Nazi ( tui zito/ ya pakiti). 4.Curry powder. 5.Pilipili (ukipenda). 6.Mafuta ya kupikia kiasi. chumvi Jinsi ya kuandaa: 1.Chambua mchicha wako, uoshe vizuri weka pembeni uchuje maji ( unaweza kuukata kata ukipenda). 2.Weka sufuria jikoni, tia mafuta kiasi, yakipata moto tia vitunguu maji. 3.Kaanga vitunguu, vikiaribia kuwa rangi ya kahawia, weka pilipili nzima, kaanga pamoja na vitunguu. 4.Kisha weka curry powder pamoja na mchicha. 5.Mchicha ukianza kulainika weka tui la Nazi. .changanya vizuri tui na mchicha. 6.Tia chumvi, acha mpaka tui likaukie na uepue mchicha wako tayari kwa kuliwa. NB; Usifunike sufuria katika hatua zote hizo ( kufunika mboga ya majani kunaifanya itoe maji mengi) Mboga hii inaweza kuliwa kwa ugali au wali. CC: farkhina (mwali kakuaa), Dinazarde Mrs Kharusy Angel Nylon Honey Faith mshana junior geniveros na wadau wote.
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 7, 2015 Thread starter #2 Ndesalee amu Mandingo Bonge the one mjasiria karibuni jikoni Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mrs Kharusy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 1,244 Reaction score 672 Feb 7, 2015 #3 Damu kwa wingiii....
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,094 Feb 7, 2015 #4 safi sana best mi mchicha unanishinda naupika ila huwi km nnavyotaka mie ntajaribu kwa kweli
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Feb 7, 2015 #5 Ahsante darling...
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,087 Reaction score 72,502 Feb 8, 2015 #6 Bora hiii naunga vizurii sasa yale mambo yetu ya kukanda kanda kitu kiwe lainii ni tafuraniii
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,155 Reaction score 1,868 Feb 8, 2015 #7 Hii kitu umeshaivisha Kim nana? Hebu nihabarishe bibie maana nishaanza kujongea pande hizo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
R rasai JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 230 Reaction score 335 Feb 8, 2015 #8 hii safi sana. nkipata ugali na samaki wa kukaanga pembeni, bila kusahau pilipili. shukran
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Feb 8, 2015 #9 Umesahau ndimu Utalamba hadi vidole Sema ndio nutrients zinakuwa zimepotea
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,844 Reaction score 7,617 Feb 9, 2015 #10 Kim nana said: Ndesalee amu Mandingo Bonge the one mjasiria karibuni jikoni Click to expand... Kim nana wali nazi lini? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kim nana said: Ndesalee amu Mandingo Bonge the one mjasiria karibuni jikoni Click to expand... Kim nana wali nazi lini?
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 9, 2015 Thread starter #11 Mandingo said: Kim nana wali nazi lini? Click to expand... Wali wa nazi unakuja... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 9, 2015 Thread starter #12 BADILI TABIA said: Umesahau ndimu Utalamba hadi vidole Sema ndio nutrients zinakuwa zimepotea Click to expand... Ushaona eenh, huu mchicha usipojiramba basi...
BADILI TABIA said: Umesahau ndimu Utalamba hadi vidole Sema ndio nutrients zinakuwa zimepotea Click to expand... Ushaona eenh, huu mchicha usipojiramba basi...
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 9, 2015 Thread starter #13 mjasiria said: Hii kitu umeshaivisha Kim nana? Hebu nihabarishe bibie maana nishaanza kujongea pande hizo Click to expand... Vishaiva na vishaliwa siku nyingiii... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mjasiria said: Hii kitu umeshaivisha Kim nana? Hebu nihabarishe bibie maana nishaanza kujongea pande hizo Click to expand... Vishaiva na vishaliwa siku nyingiii...
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 9, 2015 Thread starter #14 Dinazarde said: Bora hiii naunga vizurii sasa yale mambo yetu ya kukanda kanda kitu kiwe lainii ni tafuraniii Click to expand... Uvivu uache shoga angu...loh...
Dinazarde said: Bora hiii naunga vizurii sasa yale mambo yetu ya kukanda kanda kitu kiwe lainii ni tafuraniii Click to expand... Uvivu uache shoga angu...loh...
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 9, 2015 Thread starter #15 farkhina said: Ahsante darling... Click to expand... u a welcome somo akee mie
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 9, 2015 Thread starter #16 geniveros said: safi sana best mi mchicha unanishinda naupika ila huwi km nnavyotaka mie ntajaribu kwa kweli Click to expand... mrejesho muhimu...
geniveros said: safi sana best mi mchicha unanishinda naupika ila huwi km nnavyotaka mie ntajaribu kwa kweli Click to expand... mrejesho muhimu...
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 9, 2015 Thread starter #17 rasai said: hii safi sana. nkipata ugali na samaki wa kukaanga pembeni, bila kusahau pilipili. shukran Click to expand... Hapo ukimaliza lazima ulalee...
rasai said: hii safi sana. nkipata ugali na samaki wa kukaanga pembeni, bila kusahau pilipili. shukran Click to expand... Hapo ukimaliza lazima ulalee...
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Feb 9, 2015 Thread starter #18 Mrs Kharusy said: Damu kwa wingiii.... Click to expand... Hahahaaa kwa mapishi haya daktari akisema huna damu basi muongo
Mrs Kharusy said: Damu kwa wingiii.... Click to expand... Hahahaaa kwa mapishi haya daktari akisema huna damu basi muongo
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 9, 2015 #19 Yani mumie ukiwa unapika mbogamboga ndio unaniita lakini mapishi mengine hauniiti😎
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,094 Feb 9, 2015 #20 Kim nana said: mrejesho muhimu... Click to expand... hahahaaaaaa hujatulia