Thanks very much
farkhina ama kweli elimu haina mwisho.
Sometimes tunapika vyakula visivyokuwa kuwa na mvuto kwa kukosa tu knowledge wakati vikorombwezo ni afordable.
Dada Farkhina us mastard kazi yake nini? Kuna mtu alininunulisha lakini hatukufikia topic yake