Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,758 Sep 15, 2017 #21 espy said: Hahaaaa! Kwanini huzipendi? Click to expand... Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wake Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza
espy said: Hahaaaa! Kwanini huzipendi? Click to expand... Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wake Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza
kobokocastory JF-Expert Member Joined Aug 30, 2014 Posts 1,076 Reaction score 1,272 Sep 15, 2017 #22 joanah said: Bamia huwa sizielewi kwa kweli,sio siku hizi ni tangu zamani Click to expand... Dah..., Huu ni mtihani mgumu sana kama hali ndio iko hivyo.
joanah said: Bamia huwa sizielewi kwa kweli,sio siku hizi ni tangu zamani Click to expand... Dah..., Huu ni mtihani mgumu sana kama hali ndio iko hivyo.
kobokocastory JF-Expert Member Joined Aug 30, 2014 Posts 1,076 Reaction score 1,272 Sep 15, 2017 #23 joanah said: Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wake Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza Click to expand... Ule utelezi ndio wenyewe sasa yaani kitu laaaiiiiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
joanah said: Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wake Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza Click to expand... Ule utelezi ndio wenyewe sasa yaani kitu laaaiiiiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 Sep 15, 2017 #24 Joseverest said: Shukrani bibie..mchemsho mzuri huu nimeupenda Click to expand... Hehe mbona samaki hajapikwa mkuu, au mchemsho huu ndo ulivyo?
Joseverest said: Shukrani bibie..mchemsho mzuri huu nimeupenda Click to expand... Hehe mbona samaki hajapikwa mkuu, au mchemsho huu ndo ulivyo?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #25 daudthefarmer said: Hehe mbona samaki hajapikwa mkuu, au mchemsho huu ndo ulivyo? Click to expand... Nime_imagine tu mkuu
daudthefarmer said: Hehe mbona samaki hajapikwa mkuu, au mchemsho huu ndo ulivyo? Click to expand... Nime_imagine tu mkuu
kluger JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,093 Reaction score 1,905 Sep 17, 2017 #26 joanah said: Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wake Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza Click to expand... Ha ha ha, au weka mhogo Sent using Jamii Forums mobile app
joanah said: Sisikiagi ladha yake zaidi ya kuufeel utelezi wake Sasa ndio nimepatia picha hiyo soup ikichanganywa na bamia itakavyokuwa inateleza Click to expand... Ha ha ha, au weka mhogo Sent using Jamii Forums mobile app
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,652 Sep 11, 2018 #27 Asante mamy
red apple JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 780 Reaction score 1,216 Sep 11, 2018 #28 Supu ya samaki its my favourate...thanks