VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Yasingekuwa hayo,muda huu tungekuwa tunazungumza vingine. Mkuu kaagiza ifanywe tathmini juu ya kuporomoka na kupokwa kwa viti vingi kwa CCM katika kila kona ya nchi. Ingawa CCM ina ushindi wa jumla,matokeo haya hayatasahaulika.
CCM imepoteza zaidi ya kupata. Imepunguzwa nguvu hasa strategic areas. Nilipokuwa naripoti toka Mtwara,Lindi,Ruvuma,Iringa,Morogoro na Pwani nilibezwa. Kiko wapi sasa makada wenzangu?
Mapingamizi yametuokoa. Amini nawaambia,katika sehemu zilikopigwa kura,CCM haina wingi wa ushindi. Nyaraka za kiuchaguzi zinazoendelea kumiminika hapa Ofisi Ndogo Lumumba zinathibitisha jambo hilo.
Mkuu kaagiza ifanywe tathmini na kujua tumejikwaa wapi. Kijulikane kilichowachagiza watanzania wafanye walivyofanya. Halafu,hatua zichukuliwe. Na chama kisonge mbele kikisubiri kutetea ubingwa mwakani.
Bila ya mapingamizi,kusingekalika CCM. Asante Mapingamizi kwa kutusitiri!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

tumekusikia mwehu wewe wa ufipa

Mwambieni wazi tu, zile ahadi zake za uongo za maisha bora kwa kila mtanzania ndizo zinaendelea kuitafuna CCM. Mwambieni kuwa yeye ndiye anayeiua CCM kwa kuwalinda wezi wenzake,yeye akiwa kinara mkuu. Mwambieni tu wala msiogope kuwa elimu butu ya shule za sekondari za kata imesaidia sana maelfu ya vijana kupata mang'amuzi juu ya uraia na utapeli wa CCM. Mshukukuruni sana mkuu na CCM yake kwa kutujengea shule za kata ambazo zimekuwa ni mojawapo la chimbuko la kifo cha CCM.Yasingekuwa hayo,muda huu tungekuwa tunazungumza vingine. Mkuu kaagiza ifanywe tathmini juu ya kuporomoka na kupokwa kwa viti vingi kwa CCM katika kila kona ya nchi. Ingawa CCM ina ushindi wa jumla,matokeo haya hayatasahaulika.
CCM imepoteza zaidi ya kupata. Imepunguzwa nguvu hasa strategic areas. Nilipokuwa naripoti toka Mtwara,Lindi,Ruvuma,Iringa,Morogoro na Pwani nilibezwa. Kiko wapi sasa makada wenzangu?
Mapingamizi yametuokoa. Amini nawaambia,katika sehemu zilikopigwa kura,CCM haina wingi wa ushindi. Nyaraka za kiuchaguzi zinazoendelea kumiminika hapa Ofisi Ndogo Lumumba zinathibitisha jambo hilo.
Mkuu kaagiza ifanywe tathmini na kujua tumejikwaa wapi. Kijulikane kilichowachagiza watanzania wafanye walivyofanya. Halafu,hatua zichukuliwe. Na chama kisonge mbele kikisubiri kutetea ubingwa mwakani.
Bila ya mapingamizi,kusingekalika CCM. Asante Mapingamizi kwa kutusitiri!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Yap kweli sasa tunaona matunda ya Nape na Mwigulu ya kujaza watu mitandaoni kujibu mapigo. Na cha kuvutia zaidi mnajibu mapigo kwa matusi na si kwa hoja. Hongereni vijana wa ccm kwa uelewa mpana na uwezo mkubwa wa kujenga hoja kwa ushawishi wa matusi.VUTA-NKUVUTE ni sawa na mwanamke aliepo katika ndoa huku mahaba yote yakiwa kwa mwanaume wa pembeni.Tunakujua fika kuwa wewe ni mfuasi wa Chadema lakini hauishi kujinasibu kuwa wewe ni mwanachama kindakindaki wa chama pendwa CCM.Wanawake wa aina hii wanapatikana sana sehemu za milima ya Hi.malaya.
Afadhali mwehu anayetumia akili yake kuliko mzima anayejitoa ufahamu na kutumia akili za mwehu!
Yasingekuwa hayo,muda huu tungekuwa tunazungumza vingine. Mkuu kaagiza ifanywe tathmini juu ya kuporomoka na kupokwa kwa viti vingi kwa CCM katika kila kona ya nchi. Ingawa CCM ina ushindi wa jumla,matokeo haya hayatasahaulika.
CCM imepoteza zaidi ya kupata. Imepunguzwa nguvu hasa strategic areas. Nilipokuwa naripoti toka Mtwara,Lindi,Ruvuma,Iringa,Morogoro na Pwani nilibezwa. Kiko wapi sasa makada wenzangu?
Mapingamizi yametuokoa. Amini nawaambia,katika sehemu zilikopigwa kura,CCM haina wingi wa ushindi. Nyaraka za kiuchaguzi zinazoendelea kumiminika hapa Ofisi Ndogo Lumumba zinathibitisha jambo hilo.
Mkuu kaagiza ifanywe tathmini na kujua tumejikwaa wapi. Kijulikane kilichowachagiza watanzania wafanye walivyofanya. Halafu,hatua zichukuliwe. Na chama kisonge mbele kikisubiri kutetea ubingwa mwakani.
Bila ya mapingamizi,kusingekalika CCM. Asante Mapingamizi kwa kutusitiri!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Fanya hesabu vizuri ili ujue 2009 CHADEMA walikuwa na ngapi na leo wamepoteza na kuongeza ngapi. Ukipata jibu utakuwa unajipa matumaini tu. Kumbuka 2009 mlikuwa na 96% ya Local government kwa nchi nzima. Mwaka hata mkipata 98% mmepoteza. so jipe moyo TataMadibaHata CHADEMA wamepigwa kwenye ngome zao, MBEYA, MOSHI, IRINGA.
Hata CHADEMA wamepigwa kwenye ngome zao, MBEYA, MOSHI, IRINGA.
VUTA-NKUVUTE ni sawa na mwanamke aliepo katika ndoa huku mahaba yote yakiwa kwa mwanaume wa pembeni.Tunakujua fika kuwa wewe ni mfuasi wa Chadema lakini hauishi kujinasibu kuwa wewe ni mwanachama kindakindaki wa chama pendwa CCM.Wanawake wa aina hii wanapatikana sana sehemu za milima ya Hi.malaya.