Kama unangoja mpaka kauli atoe Rais ndipo uwe mbunifu, utasuburi sana hadi Planet Pluto igundulike for the second time. Nasisitiza, tuchape kazi kwa bidii, nchi yetu ni tajiri sana.
Kama unangoja mpaka kauli atoe Rais ndipo uwe mbunifu, utasuburi sana hadi Planet Pluto igundulike for the second time. Nasisitiza, tuchape kazi kwa bidii, nchi yetu ni tajiri sana.
Soma tena uzi kwa makini halafu utafakari!...Mtoa Mada hajasema hatupigi kazi,,ila anasisitiza "KUENDANA NA TECHNOLOGIA". mfano Tunalima sanaa ila kwa Jembe la mkono ?..ilhali kwa sasa kutokana na Tecnologia hili limepitwa na wakati!.. hili ndilo dhumuni la maada,,,