1974hrs
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 741
- 536
Ndugu wanajamvi
Leo nakuja hii thread nionayo kuwa yafaa kushare nanyi.
Mwaka 1964 historia ya zanzibar ilibadilika kutoka ukoloni mpaka mapinduzi!na hapo likaundwa baraza la mapinduzi likaongoza nchi ya zanzibar.
Mwaka 1977 vilipinduliwa vyama vya siasa vya Afroshiraz na Tanu kikapatikana Chama kimoja cha mapinduzi kikaingoza nchi mbili.
Sasa tokea wakati huo ikapatikana
SERIKALI YA MAPINDUZI + CHAMA CHA MAPINDUZI =MAPINDUZI daimaa
Najiuliza swali pia nawauliza wanajamvi lini mliwahi kusikia taasisi hizi mbili yaani serikali au chama kimetangaza kuisha kwa mapinduzi?
Kama hakuna basi kuna sababu ipi ya kuwataka waTZ wachague kwa kupiga kura huku ikieleweka kuwa mataokeo yatapinduliwa.
Mapinduzi matukufu au sio matukufu bado yatakuwa ni mapinduzi tu..nionavyo mimi.
Napenda kuwaeleza wanajamvi kuwa mapinduzii daima yanalindwa kwa mtutu na si vinginevyo!!
mfumo wa mapinduzi ya 64 ni tofauti kidogo na mfumo wa sasa wa sayansi na tekinolojia!!!