π π π Sema Kibu ni changamoto sana. Nilikuwa nadhan mashabiki wa Simba hamumpendi, ila baada ya kumuona Anaishangaa ile pass ya Akpan, nikabaki nacheka tu
Somo; Simba haina kikosi kipana nje ya wachezaji tegemezi!!, Washabiki oyaoya wa Simba kaeni mkijua kikosi chenu kidogo sana. Poleni sana..., Karibuni kesho muone kandanda na maana halisi ya kikosi kipana.
msisahau kuja na ubuyu na tendeπ π.