2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,630 Jan 10, 2016 #401 Yanga wameweka record..
W wakimataifa. JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 1,625 Reaction score 558 Jan 10, 2016 #402 nimefurahi sana yanga kufungwa tiboroha faida ya kutukana ndio hiyo na ubingwa hamchukui
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 10, 2016 #403 Yanga wapumbavu sana...
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 10, 2016 #404 Balantanda said: URA wanapiga ya mwisho....Anapiga kipa Bryan Bwete Yanga njeeeeeee Click to expand... R.I.P Yanga
Balantanda said: URA wanapiga ya mwisho....Anapiga kipa Bryan Bwete Yanga njeeeeeee Click to expand... R.I.P Yanga
back town JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 471 Reaction score 365 Jan 10, 2016 #405 ndio tunajua
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,842 Reaction score 10,765 Jan 10, 2016 #406 It's ok. Pole wewe kukimbilia jukwaani wakati watu tuko kwenye screen
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,881 Jan 10, 2016 #407 Yanga vepeee?
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,881 Jan 10, 2016 #408 Bwana anapotangulia bibi anakuja nyuma akijamba jamba. Yanga vepeee??
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,881 Jan 10, 2016 #409 Kimyaaaaaaa!!!!
the say JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,774 Reaction score 3,369 Jan 10, 2016 #410 Hv yeboyebo si walikuwa humu muda si mrefu
M momentoftruth JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,041 Reaction score 2,140 Jan 10, 2016 #411 Kandambili a.k.a malapa out
Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,233 Jan 11, 2016 #412 Masuke said: Ina wahenga walikuwa na akili za kufa mtu, tukianza na: Usitukane mamba kabla hujavuka mto; Usishone mbeleko kabla mtoto hajazaliwa; Usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Click to expand... unafurahia nini wakati simba yetu ni mbovu kupita maelezo.Afadhali Yanga wameonesha kandanda
Masuke said: Ina wahenga walikuwa na akili za kufa mtu, tukianza na: Usitukane mamba kabla hujavuka mto; Usishone mbeleko kabla mtoto hajazaliwa; Usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Click to expand... unafurahia nini wakati simba yetu ni mbovu kupita maelezo.Afadhali Yanga wameonesha kandanda
Kaundime2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 1,085 Reaction score 461 Jan 11, 2016 #413 Teh teh Simba vs yanga kugombea nafasi ya tatu
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,681 Jan 11, 2016 #414 Yanga vipi wameshinda?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 11, 2016 #415 Nawatafuta Watani zangu kanda mbili yaani in mipuuzi sijawahi on a mwanamke mwenye wivu kama Yanga eti tukienda dar na minyewe hayooo
Nawatafuta Watani zangu kanda mbili yaani in mipuuzi sijawahi on a mwanamke mwenye wivu kama Yanga eti tukienda dar na minyewe hayooo
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Jan 11, 2016 #416 nifah said: Hahahahaaaaaaaaaaaaaa na bado! Click to expand... dada taratibu, kakako nna mzunguko wa damu wa wastani
nifah said: Hahahahaaaaaaaaaaaaaa na bado! Click to expand... dada taratibu, kakako nna mzunguko wa damu wa wastani
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Jan 11, 2016 #417 Yanga mpo wapi mbona kimyaa, maneno kibao mpira hakuna.
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Jan 11, 2016 #418 samakinchanga said: Wanaongoza bao moja URA o tusubiri tuone Click to expand... Mbona huendelei kutupa burudani?
samakinchanga said: Wanaongoza bao moja URA o tusubiri tuone Click to expand... Mbona huendelei kutupa burudani?
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,898 Jan 11, 2016 #419 mume akifa na ukimwi mke hawezi kubaki
micaely michael Member Joined Jul 31, 2015 Posts 85 Reaction score 9 Jan 11, 2016 #420 mungu ni wa wote!