Yani kocha ndo "scapegoat "kwa soka la kibongo bongo na wakifanya hvyo watamuonea sana yani..!
Nashukuru sana Simba yangu kutolewa,laiti kama tungekutana na Yanga tungepata aibu ya kufungua mwaka
Msema kweli achaguliwa kuwa diwani, ni afadhali mmefungwa mapema na Mtibwa manake kwa kile kiwango chenu tungewapiga hata mkono safar hiiYani kocha ndo "scapegoat "kwa soka la kibongo bongo na wakifanya hvyo watamuonea sana yani..!
Nashukuru sana Simba yangu kutolewa,laiti kama tungekutana na Yanga tungepata aibu ya kufungua mwaka
Kiufupi walikuwa hawataki kuchezaNadeclare kuwa mshabiki haswa wa Simba ila kwa aina ya mchezo wetu hatuwezi fika popote asee.
Ukiangalia uwezo wa timu upo chini halafu timu haina morari kabisa,yani kama wamelazimishwa asee dah! Namshukuru sana mungu kutolewa kuepuka dhahma na maumivu ya kufungwa na Yanga!
Msema kweli achaguliwa kuwa diwani, ni afadhali mmefungwa mapema na Mtibwa manake kwa kile kiwango chenu tungewapiga hata mkono safar hii
Ah! Mkuu hawa huwa wakikutanaga na sisi huwa Simba halisi, huwa si Nguchiro tena.Msema kweli achaguliwa kuwa diwani, ni afadhali mmefungwa mapema na Mtibwa manake kwa kile kiwango chenu tungewapiga hata mkono safar hii
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa na bado!Duuuh! Kweli
Acha kujitetea ujinga wewe,muungwana huukubali ukweli na sio 'Ingekuwa,ingekuwa'.Hio haitakaa itokee hadi mwisho wa dunia Yanga kuifunga simba mkono
Mechi za simba na yanga hua ni zaidi ya mchezo wa uwanjani
Na uwanjani huwa hakuna kandanda...So usishangae Simba yetu hii mbovu mngechezea hata 3
AhsanteAcha kujitetea ujinga wewe,muungwana huukubali ukweli na sio 'Ingekuwa,ingekuwa'.
Utasubiri sanaIli kunogesha mashindano inabibidi yanga iwafate kwenye mshindi wa 3!
Hahahahaaa jirani umekuwa mpooole mwenyewe hadi huruma!Ahsante
Hahahahaa umeua mkuu.Bora kushangilia kariakoo fc kuliko simba
Alafu ajabu upumbavu wote huo, kocha ndiye ambaye ataangushiwa jumba bovu...Timu haina morale
Hivi unaweza kuamini samba haina hela ya kulipia beach kwa ajili ya mazoezi...Inabidi kocha aombe ombe waruhusiwe kuingia...Kwamba Kocha atalipa out of his own pocket
Hivi unajua kuwa samba wachezaji wakiwa kambini wanalala wawili kitanda kimoja
Hivi unajua kuwa Walishawahi kufika airport na hakuna gari lilikuja kuwapokea ikabidi wakodi daladala ya gongolamboto
Hivi unajua kuwa wameenda kulala hoteli ya bei chee umeme umekatika na genereta hakuna...ikabidi waogelee kwenye Joto usiku kucha
Unajua kuwa Mchezaji wa simba hatimiziwi ahadi zake za kimkataba...akiongea anapigwa benchi
Msimlaumu Kocha ...Tatizo la Simba ni Uongozi mbovu
Kiufupi ni Mfumo wa Uendeshaji
Ni kweli ...pamoja na Yanga kuwa na kikosi bora mara nyingi ....huwa sijiamini kuwa tunaweza kushinda .Hio haitakaa itokee hadi mwisho wa dunia Yanga kuifunga simba mkono
Mechi za simba na yanga hua ni zaidi ya mchezo wa uwanjani
Na uwanjani huwa hakuna kandanda...So usishangae Simba yetu hii mbovu mngechezea hata 3
Alafu ajabu upumbavu wote huo, kocha ndiye ambaye ataangushiwa jumba bovu...
Ndio maana huwa tunaishia kupigwa 7-0 tukienda kupambana kimataifa..
Mpira wa kibongo usanii mwingi tu, Hao akina Kaburu na Hans Pope wauze hiyo timu kwa mtu mwenye pesa ya kuiendesha..