NA WEWE UFIPA TANGU LINI UKAWA MSEMAJI WA CUF... SUBIRI UKUTHana akili huyu,anampigania Lipumba alieondoka CAF kwa akili zake timamu,watu wengine bure kabisa
Hana akili huyu,anampigania Lipumba alieondoka CAF kwa akili zake timamu,watu wengine bure kabisa
Tatizo dhambi ya Usaliti inamtafuna LIPUMBA na timu yake(Kambaya,sakaya +mungiki)waliyoifanya wakati wa kampeni Mwaka Jana.Maelezo yake yamenikanganya kidogo. Kwanza anakiri kwamba Baraza Kuu la CUF linayo hayo mamlaka ya kuwatimua chamani, lakini mwisho anadai "hatoki mtu CUF" halafu anakoleza kibwagizo chake kwa kuandika "Sasa ni hoja za mkabwela, dhidi ya vibaraka wa mabepari wa Tanganyika".
Tuliambiwa kwamba tatizo ni CUF Zanzibar kutowasikiliza wenzao wa Tanganyika, kuwaita watanganyika wenzako ni vibaraka wa mabepari wa Tanganyika, unaleta utata. Maana kama ungeandika ni vibaraka wa mabepari wa Zanzibar ingekuwa na maana, ama tuambiwe kwamba hata wao wa Tanganyika wamegawanyika kati ya hao "Makabwela" na "Vibaraka wa mabepari".Chama ambacho enzi za Lipumba kilikuwa kinahubiri sera za utajirisho kinakuwaje tena na chuki na Mabepari?
Nimekuelewa Sana.....Hivi kama CUF ingeambulia Mbunge mmoja au wawili baada ya kuondoka Lipumba jee Lipumba angetumia hizi mbinu kutaka kurudi?
Lipumba alifanya jambo la kisaliti na kijinga sana na hao wanaomuunga mkono sasa kuwa arudi ndio wajinga zaidi. Hayo ya Uzanzibar na utanganyika ni propaganda tuu, mbona hawakusema kabla hajaondoka?
Tatizo watu wanaingia kwenye vyama hivi vya siasa bila ya kuangalia Katiba za vyama hivyo zinasemaje. Kwanza kwenye CUF Zanzibar ina uwakilishi sawa kwenye vikao na Tanganyika, kwa ivo si rahisi kukwamisha mambo yao kama wanayataka kwani siku zote Akidi itatimia tu. Halafu wajumbe wengi wa Tanganyika ni wa kuokkoteza mitaani wengi wao hawatoke kwenye hiyo mikoa wala Wilaya wanazodai wanaziwakilisha.Hana akili huyu,anampigania Lipumba alieondoka CAF kwa akili zake timamu,watu wengine bure kabisa
Tena ajadiliwe kwa makini na kwa kina anasemaje "hapa kazi tu" wakati kila siku anashinda kwenye wali wa shughuli!?Jadilini ya yule aliyezamia kwenye shehere
Aliaidiwa fungu kubwa akapewa advance akajiuzulu ili watu washinde nyingine hakumaliziwa na kudai hawezi kwa kuwa hakuna maandishi hivyo anataka kurudi nafasi yake ili ajikimu kimaisha njaa jamani tuseme nayoHovyo kabisa. Lupumba alikiacha chama kwa ajili ya chumia tumbo. Tena ikiwa ni wakati mgumu wapinzani wakijipanga. Arudi kule alikokimbilia kujificha akila kuku kwa mrija wakati wenzao wakipigania uchaguzi.