Mapenzi

Amakweli kizazi cha mabahili kimeongezeka, we mpe hela ajisikie yuko peke yake dunia nzima.


Pesa ndio kila kitu.
 
unastahili kuwa mshairi, yaani sentensi moja tu, ongeza kidogo nyama ili tuchangie!
 
Amakweli kizazi cha mabahili kimeongezeka, we mpe hela ajisikie yuko peke yake dunia nzima.


Pesa ndio kila kitu.

people that say money ain't everything are the ones that are always broke.. wanajipa moyo tu..
 
we mlalamishi sna, tafuta hela, acha uvivu wa kufikiri.
 
wimbo huu uwafikie wanawake wote popote walipo!

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…