Mapenzi

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Hivi una mpenzi wako halafu hataki kwao wajue,anasema tukiachana aibu.unajalibu kumshauri hata kutumia marafiki zake lakn inashindikana.uaminifu ktk mahusiano yenu nimwaminofu sanaa,myezi saba isha pita,Moyo wangu usha kata tamaa na unamchukia sana.ilivyo ona nakuwa sieleweki Ndo anajifanya yuko tayari,lkn najaribu kuurudisha moyo wangi kwake nimeshindwa na kiukweli anahangaika sana kunitafuta kuniomba msamaha,lkn moyo wangi unamchukia sana.jamani nifanyeje,,,,,;napia dada zangu sio kila mwanaume anaye kuja kwako basi unamuona mwongo,kibaya zaidi mkipata kazi basi hukumbuki kuwa mwanaume alikupata ww ukiwa huna kazi.kumbuka hata uwe na pesa kiasi gani kama hujaolewa hakuna kitu mbele ya watu.kuolewa na kuoa ni heshima kwako na wafamilia yako.asanteni
 
Una masikitiko kweli ndugu,mwanzo umeanza kuandika vizuri nikakuelewa,kadri ulipokuwa unaendelea kueleza nikabidi nitumie akili zaidi kuelewa unachosema,pole sana,usimlaumu pengine alikuwa anataka akujue kama kweli uko serious,atapeleka wangapi kwao na pengine hujui alishapeleka wangapi kabla yako?acha hasira ndio mapenzi yetu ya sasa,mvumilivu hula mbivu.
 
Nashuru ndugu yangu kwa ushauri wako,Mungu akubariki sana nakupe moyo huohuo wa busara na hekima
 
Nashuru ndugu yangu kwa ushauri wako,Mungu akubariki sana nakupe moyo huohuo wa busara na hekima
yalishatukuta na sisi usijali,unapenda sehemu mtu anaingilia huku anatokea kule,ni vizuri humu utakutana na magwiji watakupa ushauri mzuri tu
 
Mkuu we siumetoa tangazo kuwa unatafuta au?mapenz ni pasua kichwa mi nadhani kama katambua kosa lake tuliza moyo huyo ndiye acha kuhangaika
 
Kwani ulitaka kwao wakujue kama nani? Je ulitaka kujitambulisha rasmi I mean kwa ajili ya ndoa au ulitaka wajue tu kwamba binti yao Ana boyfriend?

Kama ni kwa ndoa na alikataa basi ujue maybe ana mtu mwingine au hana uhakika na wewe. Lakini kama ni ya boyfriend, hata me sitaki dada yangu aje nyumbani na boyfriend wake, sio heshima. Unatangaza nini mbele ya familia yake? Kama unampenda tafuta mshenga nenda kaoe
 
Mkuu we siumetoa tangazo kuwa unatafuta au?mapenz ni pasua kichwa mi nadhani kama katambua kosa lake tuliza moyo huyo ndiye acha kuhangaika

hahahaaaa utaziweza drama za humu?keshasahau..lol
 
^^
Huyo yuko kundi la "sitaki nataka"
Unahitaji kuwa na moyo usiopatwa kutu kumpenda mtu wa aina hii.
Fanya uchunguzi isiwe kuna mahali aliegemea pamekwama sasa amekukumbuka.
Jitathimini kama anakupenda au uko kwenye plan B.. Ndio uamue
^^
 
Mm nilikuwa nalengo kabisa,kwani hata masura ya kuanza kujiandaa kimaisha nikimwambia,alikuwa anakataa,nikimwambia basi home kwetu wakujue anakataa,nikimwambia kituchocte kwamba ldlbda hiki cpendi,hanickilizi
 
hapa inaonekana una mawili ama zaidi.
kwanza binti anakataa kwao wajue wewe upo nae, kaka katika tamaduni zetu si vyema binti akiwa na boyfriend basi home watambue huyu ndie kwa sasa yupo na mwenetu, huyo dada inaonekana amelelewa katika malezi mema na ana familia imara kwa kweli. kiustaarabu unapoanza kutambulika basi ni wakati wa mshenga kupeleka posa. kwani familia yake inahusika vip na uhusiano wenu bubu?
Pili binti kapata kazi ikaonekana kakudharau; ndugu yangu kama yeye amepata kazi nawe upo kazini inakuwa rahisi sana bt kama yeye kapata kazi then wewe upo mtaani lazima uone anakudharau yaani bibie akikatiza hapo ana bahati ya mtende, sabb unaweza taka kupiga nae story wakati wa kazi akakuambia naomba tuongee bdae nimebanwa, hapo lazima uone teyari dharau.
ushauri: Mapenzi ni kutoa zaidi ya kupokea ukishaona upo bize kumnyooshea kidole mwenzio basi ujue hapo hakuna pendo bali ni zuga time.
 
nishajua sababu ya kwanin unatafta mke. Pole sana mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…