Kama ni jike test mziki wao kama ni mwanaume unawapondea kwa demu wako wasijekumegegea coz demu wako anashobokea weupe,mapenzi hayapimwi kwa ivo we niaje?
Weupe au weusi wa mtu sio kipimo cha ujuzi wa mapenzi. Mapenzi is an art. Ujuzi ktk mapenzi hautegemei na rangi ya mtu bali ni utundu tu wa mhusika na kujua nini cha kufanya ili kumridhisha mwanani wako.