Mapenzi

Joined
Jul 6, 2012
Posts
53
Reaction score
19
Wana jamii forum, ninatatizo sugu!naomba ushauri wenu. Nianzapo night shift game!naanza kumkumbuka small house!!na nimemkataa huyo small houz!nimkumbukapo najawa na hisia!!na nishaoa mwenzenu!nifanyeje?
 
Nenda Tanga mapenzi yaliko zaliwa watakupa darasaaa.
 
kwani ulipo amua kuona hukusema na roho yako kwanza? ebu basi tena umeshaamua kuoa achana na huyo mtu zidisha mapemzi kwa mkeo utasahau kila kituko ulicho kutana nacho...
 
Sidhani kama ni tatizo kubwa hilo, muhimu jiepushe kumuwaza huyo binti.
 
hahahaha ndio maana ndoa za kileo hazidumu...watu bado wanakumbuka utamu wa vimada vyao hahahaha. utamu huu bana!!
 
Kwa hiyo unamshauri agegede hiyo small house???

ndio jibu lake...sasa afanyeje wakati anakumbukia utamu wake. kipe kitu roho inapenda. aendelee kugegeda wife na pembeni anamega small house kwa raha
 
kaka mi naona ulioa bila kushirikisha hisia zako. Hukuusikiliza moyo wako unataka nini.
Kwa sababu umeshaingia kwenye ndoa, unatakiwa kucultivate love kwa mkeo wa sasa ili kuepuka kumuwaza huyo binti mwingine.
 
We fanya jinsi moyo wako unavyotaka na huenda ukawa unampenda zaidi huyo small house kuliko big house, km unaona kuna vitu vinamis kwa mkeo why usiende huko palipo na uhakika wa kuvipata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…