Mapenzi yataniua


NILIJUA PESA zitakuua kumbe bado unasumbuliwa na umaskini wa mapenzi...achana na mabo ya dunia hayo ..mtafute Mungu,itafute pesa hayo mapenzi yatakuja yenyewe...
 
2016 kumbe kulikuaga na waandika insha za namna hiii,asee mliosoma mna moyo mnapaswa kupewa hata ukatibu tawala.
 
Dah!

Mnavyoandikaga hizi tungo zenu utadhani wote mlifundishwa na mwalimu mmoja.

'Mimi ni kijana wa miaka kadha wa kadha...kabila langu fulani...nasoma chuo hiki au kile'

Hizi elimu za mwendokasi hizi....majanga matupu!
Waulize huko vyuoni, watoto wa Mama salma miaka hii hawapo ?
 
Ila elimu siku hizi ni shida.Sasa mtu hajui paras, coma na period.
Wewe mleta uzi ni bado mdogo sana,embu jipe muda wa kukua, usijidhulumu utoto wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…