Mapenzi yangu kwa Shaba Ranks...

Acha aikune tuu si ndio kazi yake, anakujua we Mzee wa social media kama le mutuz akikukuna kidogo hukawii kuja kimuanzishia uzi huku
Hehe heh uuuwi
Me simsemagi mume wangu vbaya hata kama ameharibu
Ulishawahi ona nimeandika uzi namsema mume vbaya?!
 
Hahahahaha
kiru nimeishia page ya 2 nimeacha
 
Shaba alikuwa poa sana tatizo unga ukamponza

Sio yeye tu mwadhirika wa unga Chakademas and player,Buju Banton na mablack wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…