Mapenzi Yanaumiza

Ninaposema "kukosea fomula" namaanisha ni kujiingiza ktk mapenzi kimihemko.

Me. Anaingia kwa kuvutiwa na umbile la ke

KE. Anaingia kwa kuvutiwa na urefu ama pesa nk

Mwisho wa siku wanashindwana baada ya kuzoeana kila mtu anavutia anaamua atakavyo yeye.

Mtu anayefuata fomula huwa kinyume na hayo niliyoyataja, yeye hupenda Ila huvuta subira kudhihirisha upendo wake, ni mvumilivu sana, hakimbilii kwenye ngono kabla ya ndoa.

Wewe ukiamini kuwa hakuna fomula mimi nitakujibu kuwa huo ni mtazamo wako, ila kiukweli ipo fomula.
 
Wanawake Ni masters of manipulation
Ukiingia kwny mfumo wake UMEKWISHA
Utaumia na Hakuna rangi utaacha kuona
Na wakigundua kuwa unawafanya chombo cha starehe tu ndio utakwisha mapemaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…