Mapenzi yanauma; Kijana Mzimbabwe ajirekodi mbashara Facebook akiwa anajitoa uhai kwa kunywa sumu kisa kusalitiwa

Dunia nzima kuna wanawake zaidi ya bilion 4, halafu unajiua kwa ajili ya mtu mmoja tena hata aliemtoa bikra hamjui
 
Hakuna picha ya huyo mchuchu aliyeumiza mtima wa Mzimbabwe?
 
Kijana huyo Mzimbabwe, Kelvin Mhofu Ngoshi mkazi wa Afrika Kusini, akiwa Facebook alionesha mbashara akimwa sumu kwa sababu inayodaiwa ni mpenzi wake kumsaliti. Katika video, hakusema neno, lichukua video hiyo akinywa Coca-Cola, lakini baadaye iligundulika kuwa kinywaji kilikuwa kimechanganywa na aina fulani ya sumu.

View attachment 2944103

Pia soma > SA based Zimbabwean man commits suicide over 'mjolo' live on Facebook
Heart break isikie tu kwa mwenzio .....hasa katika mahusiano ambayo ulijitoa

Pia ukahisi umefika kumbe umefikwa ...hii huwa inahitaji ubungo strong sana kuprocess hilo pito ukiwa ubungo wa kuku unajiua kweli

Kumbuka kama mtu ulimpenda na mmekaa na 3 years akiondoka katika maisha yako una siku 180 kupona hicho kidonda wengine

Kama ilikuwa ni ndoa ya muda mrefu mfano ndo 15 years to 20 years wengine huwa huchukua hata 2 years kupona kisaikilojia

Lakini kwanini wanaume huwa wanaumia zaidi kuliko wanawake ....ni hivi wanawake hawapotezi chochote kipesa zaidi ya kuleta uchi tu.....wanaume huwa wanahudumia kipesa financial assistance kibao

So siku ya kuachana mwanaume huumia zaidi
 
Aisee,mimi huu ni mwaka wa 3 sasa,,,ndo naanza kupona mdogomdogo!!!,,,,, yaani niliteseka kwelikweli!!!,kama unavosema,,,,,kama una ubongo wa kuku hutoboi,,,ni kweli kabisa!!
 
Back
Top Bottom