Mapenzi yanauma jamani

mapenzi/urafiki ni kama mmea unahitaji maji,mbolea nk ili ukue na kustawi ulipokuwa chuo ulikuwa unafanya nini kuupalilia mmea wako?au ulitarajia ukue na kustawi bila virutubisho? na je muda wote ulipokuwa chuo hukuwahi kuwa na rafiki mwingine wa kike au ndiyo kusema mkuki mtamu kwa nguruwe......
 
Tafuta mwingine, ndivyo binadamu tulivyo.
 
Jamani xxxxxxxxxx ipunguzieni matumizi!
Xaxa xixi xoxo xexe xuxu!
Wzamani hatuelewi kitu chochote hapo.
 
Pole sana mkuu, jikaze na songa mbele maana haya mapenzi kizunguzungu tu.
 
mmhh punguza hasiraaa kijana yatakwisha tupa kuleee
 
ulitaka alale peke yake wakat mwenzio kashajiandaa na game!!!
ukome kumpima mtu siku nyingne.
 
Kuna kitu Mungu kakuepushia,so be happy na jipange upyaaaa utapata mwingine mzr na maisha yatasonga mbele.
 
mjini shule unatishia kujamba wakati unaharisha...teh teh teh imekula kwako...
 
Pole sana kaka, kimsingi usikate tamaa.Kwaani hakua mke mwaminifu katka maisha yako ya baadaye.
 
Ni bora kuujua ukweli japo mchungu. Pole sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…