Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
Habari za jumapili wanajamii forum
Kadiri muda unavyozidi kwenda mapenzi yanazidi kuwa ya uongo,watu hawaaminiani,na hata yanazidi kupoteza utamu wake maana siku hizi watu hawaaminiani tena,sio kina dada sio wakina dada maisha yamezidi kuwa ya uongo na ile hadhi ya mapenzi inashuka hata mtu akiachana na mpenzi wake anafurahi anaenda kupata mpenzi mwingine yaani maisha ya mapenzi yanakuwa hayana mvuto tena.Sasa jamani hebu tujadili sababu hasa ni nini kwa mapenzi kupoteza ule mshawasha wake.Nawasilisha.