umeninyuka ndipo kuna sehemu nimo na najutaUkiwa denti ukapenda skirt, kama si Leo ni semester ijayo lazima uangukie pua
Ukiwa baba wa familia ukaendekeza michepuko, familia lazima ikushinde na utazalauliwa hadi na watoto
Ukiwa Boss kazini ukaendekeza K Za Kila mfanyakazi mrembo hata awe mke wa mtu au mfanya usafi ofsini jua ofisi hiyo progress yake itakwama
Hata kwa mademu.... Ukikuta ni mrembo anataka kuishi kwa kutegemea kiuno na madoido ya kike.... Wengi wao akiri za maisha Hakuna.
Kama unabisha ni Yupi demu mwenye chura ya maana amewahi kuwa national icon
My take : kupenda papuchi huondoa Ufahamu.
AaaaahTueleze kilicho kukuta hadi kutuasa...ayazumzayo mja yamemtokea..!
Ni kweli kabisaMithali : Mlango 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Hii ni kweli kabisaUnacheza na ubongo wa chini wewe? Nasikitika kuona mpaka sasa wanasayansi hawajagundua kuwa mwanadamu anao ubongo wa kidikteta kwenye kiuno chake!
Tena ubongo huo ukiwasha data yake lazima ubongo wa juu kichwani ufifie kwa muda hadi ubongo wa chini umalize kazi yake ndipo juu kichwani kunakuwa kuzima [emoji23] [emoji23] [emoji23]