ili iweje
Habari wana Mmu
Mimi ni kijana niliyetimiza miaka 18,nko kidato cha tano.Katika kipindi chote cha maisha yangu sijawahi kufurahia mapenzi zaid ya kuumizwa kila siku.Nilipochaguliwa form 5 shule moja ya mixture nilijarinlbu kutongoza wasichana wengi ili nipate atakayenifaa.Niltongoza ja 8 hivi but mmoja tu ndiye aliyenikubalia,sijui gundu!?Huyo mmja ameniumiza vya kutosha kiasi kwamba mimepanga niwe play boy.Tulipokuwa skul tulikubaliana atanipa papuchi likizo,bt imekiwa kinyume kwani kabadilka. sanaa na inaonyesha alikuwa na mtu wake ambayae alkuwa anampenda sana bt nilmtell tuachane akakataa ila siku hiz hanitafut hata kwa simu,nipeni ushauri wenu.Pia kukataliwa na wasichana wote hao ni gundu au

nasoma mbonaaaEnyi vijana sikilizen,
Mnapokua masomoni,v
Acheni mchezo wa mapenz,
Mnawapa uchungu oh wazazi wenu.
Wazazi wana kusomesheni,
Kwa gharama nyingi sana,
Matokeo ni kufukuzwa shule,
Mapenzi na masomo yote yapotea.
By Morogoro Jazz