Mapenzi yananitesa

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
Habari wana Mmu
Mimi ni kijana niliyetimiza miaka 18,nko kidato cha tano.Katika kipindi chote cha maisha yangu sijawahi kufurahia mapenzi zaid ya kuumizwa kila siku.Nilipochaguliwa form 5 shule moja ya mixture nilijarinlbu kutongoza wasichana wengi ili nipate atakayenifaa.Niltongoza ja 8 hivi but mmoja tu ndiye aliyenikubalia,sijui gundu!?Huyo mmja ameniumiza vya kutosha kiasi kwamba mimepanga niwe play boy.Tulipokuwa skul tulikubaliana atanipa papuchi likizo,bt imekiwa kinyume kwani kabadilka. sanaa na inaonyesha alikuwa na mtu wake ambayae alkuwa anampenda sana bt nilmtell tuachane akakataa ila siku hiz hanitafut hata kwa simu,nipeni ushauri wenu.Pia kukataliwa na wasichana wote hao ni gundu au
 
Miaka 18, mapenzi yanakutesa?!! aiseeee kijana laiti ugejua unachotakiwa kufanya sasa hvi usingewaza upuuzi kama huo,

mimi ni mchawi na nimebaini kinachokuse kwa sasa ni mapepo ya kimapenzi, kuna mtu amekushika kwa kutumia mapepo hayo ili usifanikiwe chochote maishani mwako,

cha muhimu unatakiwa kufuta kabsa mawazo ya mapenzi kwenye ubongo wako fanya yafautayo yatakusaidi.

1, fanya mazoezi ya nguvu ikiwemo kukimba na pia uwe unashiriki kwenye michezo kama riadha, hakikisha kwa wiki unakiambia mara kumi asubuhi na jioni

anza taratibu lakn nakuomba hakikisha uwe unakimbia kwa kutumia mda kila siku hadi ufike hatua ya kuwa unakimbi kwa kutumia dakika 2, kwa mita 800.

2, weka malengo kimaisha unataka katika maisha yako uwe nani unataka ufanikiwe kama nani, usiende shuleni kusoma ili mrandi tu,

3, achana na marafiki ambao unaona wanakushaur kuwanza ngono, kuwa busy na mambo yako hakikisha unapotwa na matatizo yoyote ya kimapenzi usiende kuomba ushauri kwa vijana wezako tafuta watu wanakuzidi umri kama walim
 
Mtafute FaizaFoxy analea akina Mario kama wewe
 
Last edited by a moderator:
....ukijiua hao wote watajua thamani yako, haya Fanya fasta andika ujumbe kwamba wewe ni ----- umekataliwa so mtu asikulilie alafu kunywa sumu ya panya....
 

Tulia usome m
dogo, acha kuishi kwa kuigiza watu kwamba kuwa na mahusiano ya kimapenzi ni ujanja wakati unakula na kunya kwa mzee!! wewe kama unaigiza wanachosema kuhusu hayo mambo hapa jf unapotea, hapa jf kuna watu kama babu yako, sasa wanakula pension zao.
Umri ilionao ni mdogo sana yaani hata mtu akikwambia kuna kitu kinaitwa ukimwi utakubali tu ila hutaamini, wewe kama umeenda shule ili ukazini basi utavuna ulichopanda.
 
Hakuna mtu ninayemuona mpumbavu kama mtu anayecheza na elimu....nadhani wengi wao hawajui ni jinsi gani walivyo na bahati kuipata nafasi hiyo adimu ambayo maelfu ya watu kama sio mamilioni wameikosa na wanaitaka...nimeshuhudia wazee kibao wanaanza masomo ya QT jiulize hawa wazee wameona nini mbele yao.....vijana wengi wanacheza sana na elimu wazazi wao wanajikamua mpaka wanabaki mifupa ili vijana wao wapate elimu...ili waweze kusimamia maisha yao hapo baadae....wapo wazazi waliouza vitu vyao vya thamani tena wanavyovipenda ili mradi tu vijana wao wasome...lakini vijana hawaoni wala kuthamini juhudi za wazee wao...na hatimaye hufanya vitu ambavyo havijawapeleka huko....wasichokijua vijana ni kuwa wanawake warembo walikuwepo..wapo na wataendelea kuwepo......
Mapenzi yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo na utayaacha......nafasi iliyonayo kijana sasa hivi ni ya kuyajenga maisha yako ya baadae.....kwani kwa maisha ya sasa kukosa elimu ni sawa na kukaa kituo cha basi ukingoja basi huku ukiwa huna nauli.....utaishi maisha magumu sana yatayokuwa ya majuto makuu kwani utatumia nguvu nyingi kuishi kuliko akili...utayakumbuka mengi uliyokuwa ukiambiwa na wazee wako huku ukibubujikwa na machozi yenye maumivu makali ya kupeleka tofali ghorofa ya kumi kichwani....lakini yote hayo yanategemea matendo yako ya leo.......ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA....
 

Sasa naanza kuliona pengo la mama Ndalichako, kiukweli hakustahili kuachia kiti kile. Dogo usiwe na wasiwasi, endekeza tu hiyo kitu, halafu subiria tu kifuatacho ITV......
 

Soma wew achana na mambo ya ajabu mapenz kitu gani utapoteza mda wako bure ukaja jutia badae uyo mtoto wa kike uwa awana hasara wanaolewaga sasa cjui mwenzangu unatengeneza msingi gani piga kitabu achana na mapenzi.
 
Ni gundu nenda kwa mganga ukapate dawa....akuvalishe na hirizi
 
siku hizi ampigi tena PUNYETO
yaani unataka papuchi unajua matumizi yake wewe????
 
Dogo,
1. Kwanza inaonekana una papara na ndo maana hufanikiwi. Yaani semester moja unatongoza wanawake 8 wa shule moja. Hii haijakaa vizuri kabisa. Wao wasichana wanakuona wewe mapepe hujatulia ndo maana una hangaika hangaika. Unaonekana huna mapenzi ya kweli. Na hapo shule nzima umeshaharibu. Ushauri wangu kuhusu hili usitongoze msichana mwingine katika hiyo shule. Mkifungua shule tulia...Kuwa mgumu yaani...halafu utashangaa watajileta wenyewe. Usiwe ma haraka.

2. Bado mdogo sana kujihusisha na mambo ya mapenzi. Kama unataka ufaidi papuchi, kwa sasa piga book. Jiwekee malengo ya kimaendeleo. Papuchi siyo za kuendekeza.

3. Be strategic dogo
 
Achana nao dogo,,, kwanza umri wenyewe ndo huo,,, piga kitabu hao watakuja tuu
 
bonge la gundu mdogo wangu.. mimi katika umri huo nilikua na madem darasa zima nilisoma mixture pia.. cha kufanya piga msuli sana uwe nondo watakuja tu uwafundishe... sasa hapo uwafundishe kama nusu saa halafu piga sound ukiona haelewi fundisha tena topiki piga sound ivo ivo mpaka kieleweke...

NB: Kuchanganya Mapenzi na Shule ni Hatari kwa Maisha yako..
 
siku hizi ampigi tena PUNYETO
yaani unataka papuchi unajua matumizi yake wewe????

Ni inferiority complex tu, hakuna cha zaidi hapo, anaona ni ujanja naye kuonekana ana mpenzi wao wanaita demu kumbe upumbavu tu, kula kilala kwa baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…