Mapenzi yako kwenye simu

Licha ya hivyo Ila now days once a boy meets a girl kitu cha kwanza wanaomba namba kwani without phone wangefanyaje sasa[emoji4]
With phones they want to see! What they see on photos is what they see in video calls! Wasichana wana filters nyingi! Unaeza ona Wema ikija kumacho ebitoke!
 
With phones they want to see! What they see on photos is what they see in video calls! Wasichana wana filters nyingi! Unaeza ona Wema ikija kumacho ebitoke!
Yeah lazima tutofautishe msichana mzuri na msichana anayepiga picha nzuri
 
Ana kwa ana. Kwenye simu hua wana masuali mengi sana
 
mitandao bwana imeharibu sana pamoja na kuwa tuna aproach online lkn kizungumkuti kinakuja wanakula sana nauli zetu hawa viumbe.
 
Kila kitu simple tu nikipata namb yako nashusha vocal nakuweka moyoni kwa SMS za tgo ofa
 
Cha kumjibu huyo. Achague moja kuishi kwa amani(kumpenda huyo mtoto). Ni tatizo la mtazamo tu, linatibika kisaikolojia.

Au kuishi jela. Aendelee kumfanyia ukatili huyo mtoto mpole mzuri
 
Kiukweli cm inasaidia sana kuongeza confidence hasa kama n pisi kali ambayo kuiface jicho to jicho inakua n msala,na alf pia dem akikuchomolea kwenye cm haiumi kam face to face
 
Kiukweli cm inasaidia sana kuongeza confidence hasa kama n pisi kali ambayo kuiface jicho to jicho inakua n msala,na alf pia dem akikuchomolea kwenye cm haiumi kam face to face
OMG!lakini Anaweza kukupa phone no kama hajawa interested na yeye kweli
Atakupa no endapo na yeye yuko interested!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…