Mapenzi ya zamani

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,756
Unakuta mtu anakutana na demu anajua kumuandaa nakumpa haki yake vizuri anampa kisawa sawa mpaka hata yeye hajutii ila kwa sasa ni mbaya haliii hii ni mbaya kabisa .

Unaitwa na mkaka maujuzi hana unamuandaa mpaka basi kunyanyuka kazi kukuanda anajua ila sasa shughuli yenyewe haijui wala.

Unataka akufikishe mahali wai kazi ipo .
Ila yaani unatoka pale iko kama mmenda kuangaliana hata kama mnafeelings hakuna kitu.
Zamani hata mtu akihongwa unasema nisawa ila kwa sasa hakuna mtu utakaye sema huyu ni boyfriend wangu.
Unaogopa kabisa.

Kumtambulisha hakuna kitu kitakachokusukuma uwe na raha ya kumtambulisha .
Story za mapenzi dah zikiandikwa unasema hapo sawa ni kweli unavuta hisia unamkumbuka mtu wako hisia zinapanda unaziidi kuenjoy kama vitabu vya story vya mapenzi za mani hata unariski nyumbani ili upewe vitamu ila wa leo hujiriski kwa lolote unaenda tu .

Kwanza vibamia vingi.
Kukupa vitamu zerooooo 😈😈😈
 
na nyie wadada mbona mkitaka pesa hamtaki kumuandalia jamaa mazingira mazuri ya kuchomoa hiyo pesa.?
unakuta binti macho makavu kakodoa kodo anataka pesa.
 
Zamani ipi hiyo?? Kama ni Zamani ulikuwa unapata hayo it means now you're outdated mkuu
 
Zamani ipi hiyo?? Kama ni Zamani ulikuwa unapata hayo it means now you're outdated mkuu
Kwani mbali sasa hiyo zamani ila wanaume ni zerooo kwa mapenzii mawazo yao yapo kwingine anawaza je nitamweza??
Je akijua ninayo kidogo au hivi wanaume wazamani ni watamu ni hodari wa mapenzii sio saizi .
Mnajaribu hamuwezi.
Kabisaa nasema ukweli.
 
Uliwaacha wakubwa wenzio wa zamani ukaansza kutest 2000's?
 
2000 sikuwa najua hata duidu nini dah hapo sijui namiaka kumi namoja .au tisa .
Basi we bado mtoto post yako haiendani na umri wako,uliposema zamani nikajua 1970s ukaonja 1990s kumbe bado sana kwakweli
 
Yaani ukifumania unajiua mamangu miguu inalegea nakumbuka nilivyojua kaboyfriend kangu kamenicheet nilimwita nikampa vitu vyake .
Kama kadi ,video za rose muhando na nikamblock .
Ila nilivyokuwa na mlilia ni sana kwa maana najua alikuwa mpenzi wakuchapana vizuri sana.
Halafu anaenda unalia tu.
Hunachoice.
 
na nyie wadada mbona mkitaka pesa hamtaki kumuandalia jamaa mazingira mazuri ya kuchomoa hiyo pesa.?
unakuta binti macho makavu kakodoa kodo anataka pesa.
Mnataka tigo ndio maana .
 
Jitukane tusi moja kwa niaba yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…