Mkuu hivi vinu vya dukani kwa hawa jamaa hukuviona kabisa
AZAM
BHANJI
ASAS
HILL WATER
COCA KWANZA
TBL
BLUE COAST
MMT
KATARAMA
hukuwaona kabisa hawa mpaka ukaenda Burundi?
Tanga mji wa michakato mingi, magendo, kupitia horohoro na mombasa, mrungi, madawa, tenda za viwandani, biashara kati ya tanga na pemba plus comoro, michakato pale mingi mno