Mapenzi ya sikuhizi, naombeni majibu

Mapenzi ya sikuhizi, naombeni majibu

Samtin Peter

Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
22
Reaction score
7
Mimi nauliza kwanini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa, pia kwanini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?
 
kati ya hao wengi binafsi sipo maybe wanadhiki natamaa wengine ni fahari
mwanaume uwe na pesa wajaza chumba hujui huba wala kupetipeti kitandani nako 0....sina mda na wewe
 
Gotta pay to play wanasema, so we kaza buti tu kuzitafuta, then haya mambo hayatakughasi kabisa.
 
Ni kweli wasichana ila kwa sasa hivi kuna katabia kameanza pia cha wanaume kutafuta wanawake wenye pesa ili watunzwe...Kama si kosei wanaitwa Mariooo wanaume wadizain hiyo.
 
wanawake wavivu ndo wanapenda sana wanaume wenye pesa..kwa mwanamke mchakalikaji mwanaume mwenye pesa kwake ni bonus tu
 
Wasichana wanao penda pesa self esteem yao iko very low hivyo hawajielewi hawajui nini wanafanya katika maisha yao
 
ha ha mbona joh kaimba jaman Mungu nijalie dem mpenda pesa ,,,, asinipende mim apende verossa ....... Wanaomegewa wengi ndo kitu wamekosa ni baadh tu yamaneno hahaha ndo tulivo tusamehe bure
 
Suala la wanawake kupenda pesa halikuanza leo au Jana, ni la enzi na enzi. Sio hawa wa kileo hata mabibi wa Bibi zetu Ilikuwa ni pesa kwa kwenda mbele. Amini usiamini. Mfano katika jamii za wafugaji mabinti & wanawake wengi walipenda mwanaume shujaa, anaeweza kwenda kuimba ng'ombe na kuzuia ng'ombe wasiibiwe, walipenda waganga wa kienyeji kwani walikuwa ni watu wenye uwezo na walipenda watawala (viongozi wa jadi). Yote haya kwa sababu makundi haya yaliweza kuwahakikishia "usalama & amani" kwani yalionekana ni makundi ya watu shujaa. Ulimwengu wa leo Shujaa ni yule mwenye Pesa, mtu mwenye kuweza kuhakikisha amani na usalama. Wana kosa gani dada, mama na shangazi zetu kupenda wenye pesa. Changamoto kwetu wanaume ni kujituma ili tuweze kuwa na pesa kwani pesa ndio ushujaa, kinyume chake tutaishia kupata "reject".
 
ahahahaa hlo jina lako et maana yake nini
 
Tafuta pesa kwanza, ukishazipata, alafu njoo na swali kama hilo.
 
kiuhalisia mwanamke kazi yake ni kuzaa na kulea watoto..
Mungu alimwambia mwanaume(adam) utakula kwa jasho,yaani yeye ndio wa kuchakarika. Ye mwanamke aliambiwa habari za kuzaa tu na sio kutoa jasho..
sasa kabla hujaoa hakikisha una uwezo wa kutunza familia wewe kama wewe kabla hujamhusisha mkeo.
Wanawake wanapenda wenye pesa wakiamini hapo watapata mahitaji yao,sio aombe hela ya kitenge tu useme huna. wanawake wengi wana asili ya ubinafsi hivyo wao wanapenda vyote wapate tu bila kujali wengine, na ni haki yao hiyo, kutunzwa..
 
Pesa katika mapenzi sio kila kitu. Muhimu in upendo hizo pesa in ziada tu.
 
W'wke waliumbiwa kuhudumiwa, hvyo si wakulaumiwa muda mwngine..!!
 
Back
Top Bottom