Yaani acha tuu mkuu katikati ya penzi moto moto Binti kakakatika kama maji ya DAWASCO[emoji72]Sijasoma saaana..
Ila single mama sio wakumtegemea
Labda mzazi mwenza awe amekufa
Ulione kaburi
Na uhakikishe aliezikwa ni yeye
Kinyume na hapo tutaona threads nyingi saana[emoji2]
Hapo mmekutana wote mna nyodo, wote ni wababe na kila mtu anajiona yeye ndiye anastahili kubembelezwa.Baada ya hapo ikawa ndo mwisho wa mawasiliano Mimi na yeye Maana mi baada ya kunijibu mkato sikutaka kumtafuta Tena Wala yeye hakuwahi kunitafuta Kwa kifupi adi apa naandika hatujawasiliana karibia mwezi wa pili japo status zake Whatsapp na view nae zangu ana view ila Kila mtu amekula ngumu
Kwa wazoefu wa masuala ya mahusiano huu mkasa umekaaje? Maana uyu mdad hatukuwahi gombana hata siku Moja
Ilikuwaje animwage mwenzie nkiwa Bado naumwa ? Japo angesubiri nipone [emoji3167][emoji3539]Hapo mmekutana wote mna nyodo, wote ni wababe na kila mtu anajiona yeye ndiye anastahili kubembelezwa.
Hali hii ni hatari. Na kama mngeoana hiyo ndoa ingekuwa ndoano
Sawa bosi Lima nyanya nitaja kununua mwezi wa TanoMasukanzi[emoji2]
Tatizo lilianza pale tu ulipofukuzwa kazi hajakaa vizuri kufikiria ukaumwa kiufupi huyo singo maza alikuwa kwako kwa manufaa tuSijasoma saaana..
Ila single mama sio wakumtegemea
Labda mzazi mwenza awe amekufa
Ulione kaburi
Na uhakikishe aliezikwa ni yeye
Kinyume na hapo tutaona threads nyingi saana😃
Pata tena mkuu atarudi tu wewe usifute namba yake ili uwahi kutupa mrejeshoKinachoniuma ni kwamba alikula Hela zangu mbwa yule,maana nikiwa nacho siwezagi kumnyima mtu[emoji58]
Alaaaaaa! Kumbe ni Mbwa! Hapo tayari una majibu na ushauri tosha. Mbwa na binadamu hawawezi kuoana.Kinachoniuma ni kwamba alikula Hela zangu mbwa yule,maana nikiwa nacho siwezagi kumnyima mtu[emoji58]