Hapo umeongea point sana, siku hizi wenye mapenzi ya kweli niwachache sana, wale waliofundishwa maadili ya mema ya kitanzania, wengi mapenzi yao ni ya biashara , hakuna tofauti changudoa na mpenzi wako,kwani wote huwezi kulala nao kama huna pesa, mpenzi wako huwezi kuishi nayekama huna pesa. Mwanaume wapenzi wengi anaowanunua kwaajili ya ngono na mwanamke anawapenzi wengi anao wauzi mwili wake iliapate pesa.mpenzi yakweli hutoka moyoni,huzaliwa, hukua na kuzaa matunda na kama hayakutunzwa basi hunyauka na kukauka