Mapenzi ya sasa ni ya Kuviziana

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,318
Mwanaume akimtongoza demu, pia huwa haonyeshi kuwa amekufa kiviile akiamini kuwa, demu atamsumbua.
Hali kadhalika demu aliyetongozwa nae huwa haonyeshi amemshobokea jamaa kwani anaamini hatamchuna ipasavyo kabla ya kumpa papuchi.
Masingle tunakazi.
 
Ni kweli kabisa,ukionesha kumpenda saaana binti atakufanyia mapozi sana na kukutesa...hata hivyo vitendo vina nguvu kuliko maneno tu,
 
Kumbe! ngoja namimi nikawavizie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…