Wakati tunaanzana nilifikiri una mapenzi ya kweli, kumbe unapima kama utapata chochote kitu kutoka kwangu. Nikakushtukia wala sikujiachia kihivyooo kwa kuwa nilijua unataka nini kutoka kwangu. Ningekuendekeza na demands zako nisingekujua undani wa mapenzi yako kama ya kweli unanipenda au unataka njuruku zangu. Nimeshtuka. Nikikupa kavocha bebiii nyingiii mpaka zinaboa, mbona leo nakwambia nimefukuzwa kazi wasingizia unauguza mama yako uko bize? pole niko kazini nikitoka naendelea na safari ya kutafuta ubavu. Ni utunzi wake marijani rajab msinitolee macho hivyo