mmenena wakuu, ila sijapata comment ya demu. wengi wa mtandaoni wana sababu zaidi ya mapenzi katika kujianika hewani. nadhani pia katika forum hii mtu aweza kupata kitu cha nguvu kwani lengo lake hasa hajalenga kutafuta mahusiano
em nipe mchongo wa mojawapo ya reliable social network ili nami niweze kupata kitu cha maana. sometime mtu unakuwa bize kiasi unashindwa kujichanganya physically

kama hakuna mapenzi, why bado watu wanatembelea hii mitandao kwa ajili ya kutafuta wenza? nadhani pia inarahisisha kwa maana kuwa kila mmoja anajua nini kitakachoendelea, au sio