Mapenzi ya msibani

Kwani mapenzi yana sehemu maalum jamani?????
Ebu mtoa maada tuambie kwa kutumia uzoefu wako maana mi nina mfanyakazi mwenzangu ambayr alikutana mke wake kwenye msiba na ndo wamekua mume na mke!!!!
 


Hii mbona ni cha mtoto. Umefika kwenye misiba ya wanyakyusa? Ukifika kule usiende migombani kwani huko ndiko utakuta mke wako ama mumeo amelala kwenye majani na mke wa jirani wakipeana joto mwanana. Nilishuhidia haya mara mbili kule Kyela na Mbeya vijijini. Kuulizia jamaa wakaniambia mbona ni zao hizo wanyakyusa, si jambo la kushangaza. Nasikia pia hata wapare wako hivi.
 

hayo hayana mda wala mahali bali hutokea na kufanyika popote pale ili mradi tu nafasi inaruhusu.
Wengne wanaotena baada ya kutoka kanisani.
Nakumbuka niliwahi kufumwa na rafki yangu nikiwa na dada yake wakat huo dada mtu aliaga anaenda church mbaya zaidi dada mtu alibeba hadi biblia hata kanisan aliishia geto kwangu baada kama dk 20 jamaa katimba geto anamkuta dada yake yupo kama alivyozaliwa.
Kilichofuata hapa ni varangati la kufa mtu
 
Mtu kufa haimaanishi maisha yasimame, kwa hiyo kwa wale wenye dhamira za kuendeelea na maisha kwa mtindo wa kungonoka misibani acha waendelee ndiyo uchaguzi wao, sasa kinakukera kitu gani wakati kila mtu na uchaguzi wake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…