Mapenzi ya msibani

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Kuna watu wa ajabu sana dunia hii. Yaani hata kwenye tatizo kubwa lenye kuhuzunisha unakuta mtu anatumia fursa hiyo kufanya ufuska wake. Mtu anaaga anakwenda msibani na kweli anafika ila anazuga dakika chache ili aonekane alikuwepo halafu anatokomea kwenye ngono. Huu ni ushenzi uliopitiliza.

Hi iliwahi kumtokea jirani yangu mkewe alikuwa mwepesi sana kuhudhuria misiba hata isiyomhusu tena ile ya mbali kumbe anaenda kukamilisha ufuska wake lakini za mwizi ni arobaini akabambwa kilaini baada ya mume kutonywa na kufatilia kimyakimya. Kilichofuta ni talaka maana ni ngumu kuishi tena na kahaba wa aina hii.
 
Wanawake ndo wanaongoza kwa ufuska huo wa misibani.
 
Wewe umechangia kiasi gani kotoa taarifa kwa huyo bwana hadi talaka kupatikana?
 
Mbona kawaida. Watu wanagongana vitu humo humo msibani wala hawaendi mbali.
 
wacha wawe na hivo vichaa ili wengine tusiumize kichwa
 
Yaani kuna mijitu ngono zimetawala akili zao, alistahili kabisa hiyo talaka maana this is too much,. Nasema tumechoka, tumechoka nasema na wachwe tu maana...!!!!
 
Huyo shetani mchafu wa tabia tupilia kule akafie mbali
 
marehemu kafa kwa ngoma na watu wanakulana usiku huo huo msibani bila condom
 
hiiii kali kuliko.....kwel bna ila genye hazina adabu kbsaaa

Mbaya zaidi ni wakati marehemu amepetwa na kifo kutoka na hili gonjwa na hao wa kufanya ngono hawatumii hicho chombo cha usalama barabarani!
 
Maajabu yanaendelea.......nyakati za mwisho ni zenye matukio yenye kuogofya.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…