Nimesoma mpaka nimejiskia vibaya mimi kama dada sijui kwanini..!!
Unavyoonekana bado mdogo uandishi wako una reflects hilo..!
Seriously, matukio na magonjwa yote haya bado una ndoto za kwenda kuonana na mtu mliyeonana kwa picha tena kwa kumfuata.!
At least yeye ndo akufuate ulipo at some point inaweza kukusaidia.!!
Usikurupuke katika Maamuzi yako..!!