Za sa hizi wana jf mimi Nina swali?
MF.. Umeamua kuachana na mahusiano amabyoa hanaya faida ukaamua kumove in na maisha yako lakini ikatokea unarafiki tu ambaye mlisoma nae. Shule moja na hatimae kwa sasa anafamilia yake lakini katika kupiga story na yule kaka ukamwambiaa sifa mwanaume unaye muhuitaji hatimae. Akakuambia na yeye anarafiki ambaye anauitaji wa sifa za mwanamke kama mimi hatimae ukakubali ampatie namba matokeo yake mkatumiana picha mkapiga story kama marafiki mwishi wa siku kaka akaomba mahusiano ukaamua kukubali ila wakati huo uyo mwanaume yupo mwanza na mwanamke yupo dar ... Wakati wa mawasiliano mwanaume anaonekana ni mtu muelewa na mwisho wa siku mwanamke ameanza kumpenda na kumuwaza. Pia mwanaume sababu ya kubanwa na kazi anahitaji mwanamke amfate mwanza kwan hata nauli ya kwenda na kurud anampatiaa .. Sasa mwanamke anaogopa. Swali mapenzi kama hayo ni ya kwel au ????? Je? Mwanamke aendeleze kupenda au ?? TUNAOMBENI USHAURI WENU
acha noma huyu lazma aende! Kashachanganywa akili kumkichwa!...nenda nanii!Trust nobody
Yani mwanamke utoke Dar hadi Mwanza kumfata mwanaume ambaye mahusiano yenu yalikuwa ya kutumiana picha tu?
Subiri akiwa na muda akufate...mwanamke unatakiwa kubalance shobo
Thank u for ur good jibu mwaaaaa be blessedThe worst distance between two people is misunderstanding ila no excuse kama kweli una nia mwanaume ilifaa kumfuata mwanamke tena ingekupa sana credit kua unajali,, hata kama mm mwanaume demu akikubali kuja nitamuona kicheche ina maana hata akiitwa na mwanaume mwingine ataenda
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
KwakeeeAende Mwanza afikie Lodge.
Wakutane mitaani wapige story then arudi kwake dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank u for ur good jibu mwaaaaa be blessed