Hamad yusuph Member Joined Mar 21, 2024 Posts 45 Reaction score 33 May 1, 2024 #1 Hiviš¤ mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweliš¤·. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
Hiviš¤ mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweliš¤·. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,180 May 1, 2024 #2 Ondoa hofu, fanya ya muhimu kwenye mapenzi na acha muda uwaprove
ivan1212 JF-Expert Member Joined Mar 4, 2019 Posts 937 Reaction score 2,459 May 1, 2024 #3 Wote wanne au zaidi mkiwa na makubaliano, basi yatadumu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 May 1, 2024 #4 Em achana na mapenzi, fanya mambo mengine. Mapenzi yana wenyewe, na wenyewe sio wewe. Tulizanaaa
C Chami boy Member Joined Apr 29, 2024 Posts 29 Reaction score 57 May 1, 2024 #5 Yanadumu kikubwa uhai..š¤§
D Dume Jembe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2024 Posts 707 Reaction score 768 May 1, 2024 #7 Wapenzi wanaweza dumu vzr tu iwe mbali au karibu . Wanaweza chepuka mmoja au wote na bado wakadumu inategrmea sana sana
Wapenzi wanaweza dumu vzr tu iwe mbali au karibu . Wanaweza chepuka mmoja au wote na bado wakadumu inategrmea sana sana
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 May 1, 2024 #8 Mnaweza kuishi pamoja ila mkawa mbali kimahusiano, mnaweza kuishi mbali ila mkawa pamoja kimahusiano. Uamuzi ni wenu nyie kama wapenzi. Mdakuzi
Mnaweza kuishi pamoja ila mkawa mbali kimahusiano, mnaweza kuishi mbali ila mkawa pamoja kimahusiano. Uamuzi ni wenu nyie kama wapenzi. Mdakuzi
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 May 1, 2024 #9 Nifah said: Mnaweza kuishi pamoja ila mkawa mbali kimahusiano, mnaweza kuishi mbali ila mkawa pamoja kimahusiano. Uamuzi ni wenu nyie kama wapenzi. Mdakuzi Click to expand... Yeah
Nifah said: Mnaweza kuishi pamoja ila mkawa mbali kimahusiano, mnaweza kuishi mbali ila mkawa pamoja kimahusiano. Uamuzi ni wenu nyie kama wapenzi. Mdakuzi Click to expand... Yeah
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 May 1, 2024 #10 Southern Highland said: Ondoa hofu, fanya ya muhimu kwenye mapenzi na acha muda uwaprove Click to expand... Point
Southern Highland said: Ondoa hofu, fanya ya muhimu kwenye mapenzi na acha muda uwaprove Click to expand... Point
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 May 1, 2024 #11 Ya karibu yenyewe yana changamoto
Turnoff JF-Expert Member Joined Mar 11, 2016 Posts 764 Reaction score 913 May 1, 2024 #12 Ukiondoa wivu yana dumu.
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,839 May 1, 2024 #13 Hamad yusuph said: Hiviš¤ mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweliš¤·. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... Yanadumu tu, kwani mapenzi si ni hisia
Hamad yusuph said: Hiviš¤ mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweliš¤·. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... Yanadumu tu, kwani mapenzi si ni hisia
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,427 Reaction score 11,151 May 1, 2024 #14 Hamad yusuph said: Hivi mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu... Mapenzi ya mbali yatadumu endapo Tu hamtakuja na wivu lakini ukweli n Kwanza kuchepuka n lazima
Hamad yusuph said: Hivi mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu... Mapenzi ya mbali yatadumu endapo Tu hamtakuja na wivu lakini ukweli n Kwanza kuchepuka n lazima
Hamad yusuph Member Joined Mar 21, 2024 Posts 45 Reaction score 33 May 1, 2024 Thread starter #15 Chami boy said: Yanadumu kikubwa uhai..𤧠Click to expand... Hahahš uhai tu
Hamad yusuph Member Joined Mar 21, 2024 Posts 45 Reaction score 33 May 1, 2024 Thread starter #16 Hamad yusuph said: Hiviš¤ mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweliš¤·. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... Wakipekee said: Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu... Mapenzi ya mbali yatadumu endapo Tu hamtakuja na wivu lakini ukweli n Kwanza kuchepuka n lazima Click to expand... Hahh naqubal chafu yngu
Hamad yusuph said: Hiviš¤ mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweliš¤·. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... Wakipekee said: Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu... Mapenzi ya mbali yatadumu endapo Tu hamtakuja na wivu lakini ukweli n Kwanza kuchepuka n lazima Click to expand... Hahh naqubal chafu yngu
Hamad yusuph Member Joined Mar 21, 2024 Posts 45 Reaction score 33 May 1, 2024 Thread starter #17 Turnoff said: Ukiondoa wivu yana dumu. Click to expand... Kueeel bro
Hamad yusuph Member Joined Mar 21, 2024 Posts 45 Reaction score 33 May 1, 2024 Thread starter #18 Nifah said: Mnaweza kuishi pamoja ila mkawa mbali kimahusiano, mnaweza kuishi mbali ila mkawa pamoja kimahusiano. Uamuzi ni wenu nyie kama wapenzi. Mdakuzi Click to expand... Ni kwel wew unawez ukawa na mahusiano kwa aliekuambališš
Nifah said: Mnaweza kuishi pamoja ila mkawa mbali kimahusiano, mnaweza kuishi mbali ila mkawa pamoja kimahusiano. Uamuzi ni wenu nyie kama wapenzi. Mdakuzi Click to expand... Ni kwel wew unawez ukawa na mahusiano kwa aliekuambališš
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 May 1, 2024 #19 Hamad yusuph said: Hiviš¤ mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweliš¤·. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... Inshort mapenzi hayana tofauti na bluetooth au Wi-fi, device iliyopo karibu ndio inaconnect. Jiandae kisaikolojia.
Hamad yusuph said: Hiviš¤ mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweliš¤·. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani Click to expand... Inshort mapenzi hayana tofauti na bluetooth au Wi-fi, device iliyopo karibu ndio inaconnect. Jiandae kisaikolojia.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 May 1, 2024 #20 cocastic said: Em achana na mapenzi, fanya mambo mengine. Mapenzi yana wenyewe, na wenyewe sio wewe. Tulizanaaa Click to expand... Sentesi chache tu, mwenye akili tu atakuelewa. Tukiwa secondary school kulikuwa na kitabu cha Ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
cocastic said: Em achana na mapenzi, fanya mambo mengine. Mapenzi yana wenyewe, na wenyewe sio wewe. Tulizanaaa Click to expand... Sentesi chache tu, mwenye akili tu atakuelewa. Tukiwa secondary school kulikuwa na kitabu cha Ngoswe penzi kitovu cha uzembe.