kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Mapenzi ya kweli yapo kwa mama yako mzazi tu
Sina upendo wa kijinga kila siku kumwaga chozi kama miaka ile ya zamani
Bali nina upendo wa kibishi demu akizingua kwangu sina mda wa kumbembeleza hata kidogo
Zamani ukimzingua demu analia wiki nzima sio miaka hii ya leo
Tena siku hizi ukimzingua wewe mmoja wapo kumi wa kumsaidia mpaka kumla
Anayebisha aje abishe kwa hoja.
Karibuni!
‪
Sijaelewa vizuri, unaeapa kutokulia tena ni wewe au mademu zako ndo hawalii tena siku hizi? Maelezo yako hayajakaa sawa!
Ugumu wa kwenye thread tu huu, hakunaga ugumu mbele ya ile kitu....
Sina upendo wa kijinga tena yani sasa hivi nakiwekea ugumu kweli kweli
Sina upendo wa kijinga tena yani sasa hivi nakiwekea ugumu kweli kweli
Huo ndio msimamo wa kiume
Kazingua piga chini vuta mwingine
Fullstop
Ugumu wa kwenye thread tu huu, hakunaga ugumu mbele ya ile kitu....
Ugumu wa kwenye thread tu huu, hakunaga ugumu mbele ya ile kitu....
Umeona ehhhh??? Tena huyo mama yake anayemsifia akiambiwa mtukane mama yako anamtukana huku wazungu wakitoka na mitusi juuuuuu!!!!! Chezeiya papuchi wewe!!!'!!!
Mapenzi ya kweli yapo kwa mama yako mzazi tu
Sina upendo wa kijinga kila siku kumwaga chozi kama miaka ile ya zamani
Bali nina upendo wa kibishi demu akizingua kwangu sina mda wa kumbembeleza hata kidogo
Zamani ukimzingua demu analia wiki nzima sio miaka hii ya leo
Tena siku hizi ukimzingua wewe mmoja wapo kumi wa kumsaidia mpaka kumla
Anayebisha aje abishe kwa hoja.
Karibuni!
‪
Thread zenu zinamchosha chuma. Mwanamke mpe hela mt.....mbe vizur, mjali ivyoo tu. Ukimzingua atalia mpaka machoz yajae kitoto ndoo.
namna hiyo maisha yanakuwa rahisi saana.Stress za kijinga hakuna kbs
bora sijui nchi gani nikakae tz ni blunders tu
Nenda somalia ni wa karimu sana