love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
Vyote vina uwezekano ni uvumilivu tu ndio unaohitajika...
habar wana jf, kwa experience yang mahusiano meng ya wanachuo huishia after graduation.na huwa hamna future wachache mno wanaodumu.labda awe anadate na mtu wa nje ci mwanafunz mwenzie.kuna ukwel hapo?
Tatizo mnatanguliza ngono mbele badala ya kumtanguliza Mungu.Mimi niliyemuoa nilimpata chuo ni kwa sababu tulikuwa serious na Mungu alikuwa kati yetu.Pia sikuokota mtu wa disco bali nilipata anaemjua Mungu.Tatizo wadada wengi wanapenda kushobokea masharobaro wanasahau baada ya kumaliza chuo maisha huanza upya.Uliyekuwa unamuona hana fedha ndiyo anakuwa nazo mara baada ya kupata kazi nzuri.
watu chuo wapo kimgegedo zaidi bwana...how do expect a 21 yr old to know wat love is while he cant even control his sexual urges.
wacha wagegedane kwa raha zao
Tatizo mnatanguliza ngono mbele badala ya kumtanguliza Mungu.Mimi niliyemuoa nilimpata chuo ni kwa sababu tulikuwa serious na Mungu alikuwa kati yetu.Pia sikuokota mtu wa disco bali nilipata anaemjua Mungu.Tatizo wadada wengi wanapenda kushobokea masharobaro wanasahau baada ya kumaliza chuo maisha huanza upya.Uliyekuwa unamuona hana fedha ndiyo anakuwa nazo mara baada ya kupata kazi nzuri.
Habari wana Jf,
Kwa experience yagnu mahusiano mengi ya wale ambao ni wanachuo huishia baada ya ku graduate. Mahusiano hayo hayana future na ni wachache mno ambao hudumu. Labda iwe mahusiano hayo yawe ni ya mtu ambae ni mtu wa nje ya chuo na si mwanafunzi mwenzie.
Nyie mnaona kuna ukweli wowote hapo?
WATU MNAPENDA CHEAP ANSWERS.
majibu ni haya.
KWANZA ANGALIA HUU UKWELI.
wanafunzi wanapoanza 1st year wengi wao wanakuwa tayari walishachagua wapenzi wa kuwaoa ama kuolewa nao.WASICHANA wanakuwaga na boyfrend waliowatangulia kimasomo ama tayari wapo kazini.
WAVULANA wanakuwa na wasichana wao madarasa ya chini A-level na hata O-level.
UKWELI.
watu wengi wakati wanaingia chuoni tayari wana chaguo lao.
KINACHOTOKEA
chuo kikishaanza baada ya kama miezi miwili mitatu karibia wasichana wote wanakuwa wamepata NEW BOYFRIENDS yaweza kuwa same 1st yr ama wa miaka ya mbele.
Kinachofanyika hapa ni usaliti kwa kila mtu,msichana anamsaliti mchumba wake aliye chuo tofauti ama kazini,mvulana anasaliti mpenzi wake aliyesekondari.Kumbuka hawa wote kila mtu anafikiria tofauti kuhusu mpenzi chaguo lake na kinachofanyika ni kujaribu kuficha ukweli kwa waliowachagua.ILI UMUOE msichana wa chuo lazima uvunje ile strong relation ya awali na vinginevyo mtafanya tu mapenzi kama hitaji lakini mvulana anae wa kuoa na msichana anae wake
Tatizo mnatanguliza ngono mbele badala ya kumtanguliza Mungu.Mimi niliyemuoa nilimpata chuo ni kwa sababu tulikuwa serious na Mungu alikuwa kati yetu.Pia sikuokota mtu wa disco bali nilipata anaemjua Mungu.Tatizo wadada wengi wanapenda kushobokea masharobaro wanasahau baada ya kumaliza chuo maisha huanza upya.Uliyekuwa unamuona hana fedha ndiyo anakuwa nazo mara baada ya kupata kazi nzuri.
Umepita mule mule aisee
Umepita mule mule aisee