Ili kuleta maendeleo katika taifa unatakiwa uimalishe uhisiano na mshikamano bora katika jamii kwa kuanzia gazi ya mtu moja, famalia, n.k.
leo hii hili swala unaweza kulichukulia kama jokes kwa maana hujui maudhui yake katika jamii yana nafasi gani?? na ushauri nilioupata hapa una faida gani? kwangu.