Mapenzi pesa maua mpelekee nyuki

Hapo kwenye red, naona hilo neno limekuwa maarufu sana kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii.. Nahisi halafu ya creation hapa kutoka kwa ndugu yangu Shy land.. Nway.. Basi sawa wa kwetu!!!!!!

Mkuu sexologist kwa hiyo unamaanisha msichana huyu alinifowadia sms kimakosa!! au kunifurahisha
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe siku zote ubatunza tu wenzio wanapiga, msg yako hiyo...
 
nadhani wakati umefika sasa muwe mnatutumia screenshots
inachosha sasa maana full ushigongo humu ndani siku hizi pia kuna dada mmoja hivi nae siku hizi humu ndo hata thread zake huwa sifungui maani ni hadithi hadithi hadithi
 
1. mpigie muulize anamaanisha nini kwa sms kama hiyo

mtu kuishi kwao hamaanishi hana mahitaj binafsi, na umesema duka la babake ina maana kila kitu anapangiwa!!

3. kama kweli una malengo naye muweke huru kuwa awapo na mahitaji anayoona waweza msaidia akwambie asisubir wewe uote ufanye, na si lazma kila anapokuomba ufanye vingine unapotezea na ni kipimo pia cha uvumilivu

4. unaweza kuta unavyompa sio vya muhimu kwake lakn kuna anavyo vitaman hajui avipate vipi!!!

uchumba had ndoa ni safar ya kufahamiana, kuchunguzana jua mapungufu ya mwenzio na mazur yake pia sio mnakaa kuviziana akosee upate sababu.
 
inachosha sasa maana full ushigongo humu ndani siku hizi pia kuna dada mmoja hivi nae siku hizi humu ndo hata thread zake huwa sifungui maani ni hadithi hadithi hadithi...

..hadithi njoo, uongo njoo, utam koleaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......

ahadithie miss chagga ili akimaliza ampe ushauri mwanana ndugu yangu Shy land..
 
Last edited by a moderator:
Hiyo sms ni ya kufowardiana kaka usipanic mim watu watatu wameshanitumia ni kausemi kaJOKING tu watu hukitamka.
 
Pole sana tafuta safari nyingine ya mapenzi na mtu mwingine pesa ni maajariwa
 
inachosha sasa maana full ushigongo humu ndani siku hizi pia kuna dada mmoja hivi nae siku hizi humu ndo hata thread zake huwa sifungui maani ni hadithi hadithi hadithi

kitu ambacho hukijui ni sawa na usiku wa giza.
nakuomba kabla hujatoa mtazamo wako fikiri mara mbili.

hii sms sawa inazagaa kwenye social network, lakn imenishagaza sana kutoka kwa mtu ambaye nina malengo naye.
hadi sasa sijajua lengo lake nini.
kanifowadia sms ili nisome nifurahi tu,
au
anafanya jokes na mimi au ni kitu gani??

maswali ya majibu hayo yanaatana na ukweli kwamba sijawahi kumpa pesa???

tafakari
 

HALELUYA MOSHI ubarikiwe sana ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
WW si muoaji ni galagaja wa maisha
hukumbuki hata jana uliwaambije hao wanawake


 
mapenzi ya wanawake wakizungu matamu sana maua ndo yanathamani kuliko pesa lakini huku africa wanawake wengi ovyo hawajui thamani ya maua wao wanajua mapenzi ya wizi tu ambayo yanahusisha fedha tu
 
Eti usio na malengo nao ndo unawapa hela...unayepanga kumuoa humpi....sababu yako imenichekesha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…