mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
NAKAZIA HAPAKataa ndoa ndo mpang mzima
Pole sana kijana, kupigwa tukio ni kawaida sana, never take women seriously utakufa kwa presha......ukiwa na pesa utakula hadi uvimbiwe ila that should never be your goalNi upumbavu mtupu usiona manufaa.ni hasara tup na kupotezeana mda.bora tutafte ela itupende maana mapenz n uzushi usiokuwa na manufaa kiroho.bora nimpende mungu tuh maan yy ndio anayenijal.
Huyu hajalala kabisa, ujue demu kazima simu usiku mzima, now ataletewa fix za umeme kukatika na simu kuisha chaji......dadeeeekiKuna mtu ameshalizwa alfajiri
hatari mkuuHuyu hajalala kabisa, ujue demu kazima simu usiku mzima, now ataletewa fix za umeme kukatika na simu kuisha chaji......dadeeeeki