hukulala na mamayo utotoni? Umejivuruga mwenyewewe nae umevurugwa mama yako unaweza lala nae?
Mapenzi ni ujinga, Wapendaji ni wajinga, Wewe umependa, kwahyo wewe ni mjinga
Unakuta unamtu unampenda na kujitahidi kufanya kila anachotaka ili ajisikie vzr lkn yeye hana muda na wewe ukimwambia hiki sikipendi ufanye hakusikilizi ndio kwanza anaendelea na mambo yake Muda ufike sasa tujiangalie wenyewe mahusiano ya siku hiuzi ni upumbavu tu I hate ote wenye tabia za hivo.