Waheshimiwa.
Nimekuwa nikifanya tafakuri sisi ya mahusianao ya sasa. Na nimejikuta nikibaki njia panda kwa maana ya Mapenzi ni pesa au pesa ni mapenzi?
Juz kati nimewatokea wanawake tofauti kadhaa, ukumbuke mie mwenyewe handsome na smart one. Katika mazungumzo wanawake hao wote walionekana shida yao kubwa ni kubadirishaa vikojoleo vyao dhidi ya pesa zangu.
Nilijaribu kila njia kuwaweka sawa nakuwaelewesha nini maana ya mahusiano lakin juhudi zangu ziligonga mwamba.
Mmoja wao alifunguka kwa kuniomba mtaji wa laki na nusu ili anipe kikojoleo choteee[emoji23][emoji23][emoji23] shubamitiii
Mwingine alisema nimpatie elfu 20 kama kifunguzi Cha mafusiano na apo atanipa uchii na maji ya kutosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nazani manelewa wale watu wa ukanda wa mkoa Kagera hadi kuelekea kwa Yoweri Musseven.
Kwa sample ya hao nilioelezea apo juuu nazani naweza acha gap ilii wadau tuelezane hasa nyie wanawake wa JF nini kinawakabiri maishani? Mmeona pesa ni Bora Sana kuliko mahusiano ? Mmeamua kuuza vikojoleo vyenu??
Itoshe kusema wanaojiuza kwasasa TZ ni wengi Sana. Mamlaka ya Mapato TZ (TRA) Kuna haja watazame huku nako ,taifa linapotezamapato ya kutosha, vijana tunalazimika kununua utelezi??
Angalizp kwenu wazaji, tabia hii itawafikisha pabaya, tabia hii itawagharimu, tabia hii itawaumiza kila ukichao.
Meza huru kwa majadiriano.
...............