Ni hali ya kuingiwa moyoni na kuthamini mtu au kitu zaidi ya mwingine au
kingine,mahaba, nyonda, huba Mfano.Kila mpenda soka lazima awe na mapenzi
na LIVERPOOL. Kila mpenda siasa lazima awe na mapenzi na
KINGUNGE NGOMBALE MWILU N.K
Kwanza kabisa mapenzi ni hali ya kupenda kitu au mtu kutoka moyoni. Sasa kibinaadamu na hali ilivyo sahivi maana ya mapenzi ukimuliza mtu hatokupa jibu utakalorithika kwa sababu:
Aliyetendawa ana namna yakuelezea mapenzi, anayefurahia mapenzi, anayetaka kuingia na anayetaka kutoka..wote wana namna ya kuelezea..so hakuna jibu sahihi mapenzi ni nin
Jamani naombeni ushauri kuna dem mmoja nampenda kichizi na nimeshafanya mambo mengi sana kwake lakini yeye anaonekana hayupo tayari kuwa na mimi ktk uhusiano je nifanye nini

Mkuu usiwe kupe. Kwani wewe una matatizo ambayo yanakusababishia ushindwe kutafuta mwingine?. Adhabu utakayoipata kulazimisha kupendwa pale usipopendeka ni kubwa zaidi ya hii unayoipata sasa hivi. Si lazima kila unayehisi unampenda nae akupende, pia hujaeleza vitu vingi ulivyomfanyia ni vipi maana inawezekana wewe ukaona hivyo vitu ni vya msingi sana lakini yeye akawa hapendelei halafu kama ana mtu na anampenda kwa sana angalia tu mlango wa kuokea na uchape rapa.